Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Masharti makali sana TRA...huku vijijini hatujui EFD wala wakili huku mambo yote yanaishia kwa mjumbe na mwenyekiti yakiwa magumu yanamalizwa kwa Raisi wa mtaa ndugu mtendaji.View attachment 3200864
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji