Dar Es salaam: Umebadili umiliki wa chombo chako cha moto?

Dar Es salaam: Umebadili umiliki wa chombo chako cha moto?

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji
1736857336425.png


Sisi wa mikoa mingine lini
 
hii huwa wanashauri cheti cha kifo na kiapo cha mahakama pamoja na mkataba wa mauziano na kadi ya chombo hicho.
Watu wanawekewa ulinzi mzuri kwenye vyombo vyao vya moto bado wanaleta ujuwaji, ngoja siku matapeli wakipita nacho na kwenda kukibadilisha jina, ndiyo atakumbuka kumbe sheria za TRA zilikua sahihi!!
 
Back
Top Bottom