Masharti makali sana TRA...huku vijijini hatujui EFD wala wakili huku mambo yote yanaishia kwa mjumbe na mwenyekiti yakiwa magumu yanamalizwa kwa Raisi wa mtaa ndugu mtendaji.View attachment 3200864
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji
KUNA WATU WANAULIZA KUHUSU KODI NA HUDUMA ZENU KUTOKUWA RAFIKI.View attachment 3200864
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji
Ikiwa mmiliki ameshatungulia mbele za haki hapa inakuwajeView attachment 3200864
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji
Ni mlolongo, vitu kama barua, kiapo cha umiliki, makadirio ya kodi, ni unnecessaryView attachment 3200864
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji
Mnarudisha kodi ya gari?View attachment 3200864
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji
Usipobadili mnatufanya nini?
Hili swala lao inaonekana kikao kilikaliwa na watu wachache waliolewa pesa na madaraka kisha kuamua hili jambo ili mradi tu nao labda waonekane wamefanya kazi 😂😂Mfumo huo mpya unaoanza Jan 20, Hauna muda wa kutosha kuelimisha Watanzania.
Kuondoa mfumo wa zamani Kwa haraka ni kunipotezea Serikali mapato na kumsumbua raia,
Muhimu muda uongezwe,
Mwaka huu mzima watu waoewe muda kuhakikisha magari yanabadilishwa Kwa mfumo wa zamani zikitumika ofisi za TRA kama sasa.
Jan 2026 mfumo mpya ndipo uanze rasmi.
Kufunga mfumo wa zamani ghafula ni kuleta taharuki. Halafu January hii, tuache kupeleka watoto shule Eti tubadili magari.
Ni hayo tu.
Rahisisheni mambo, najua mnataka mpate mapato tuView attachment 3200864
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji
Yeah,Wao wanawaza kuuziana tu. What if nimempa mtu gari FREE
TRA badala ya kurahisisha mambo, ndiyo mna complicate! masharti yote hayo ya nini? Au roho inawauma sana mkiona watanzania wanamiliki magari.View attachment 3200864
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji
hii huwa wanashauri cheti cha kifo na kiapo cha mahakama pamoja na mkataba wa mauziano na kadi ya chombo hicho.Ikiwa mmiliki ameshatungulia mbele za haki hapa inakuwaje