Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo
3:TIN ya mnunuzi
4: Kiapo cha umiliki
5: Picha ndogo 2 za mnunuzi na muuzaji
6: Barua ya maombi ya kubadili umiliki
7: Kopi ya kitambulisho cha muuzaji