Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

lets not have short memories bro! lets keep away from threads started by these bongolalas whose aim is seeking orgasm kick!!!

Yaani unakimbizana na wehu ikiwa wewe mzima!!!
Unawatukana watanzania unashinda kwenye Forums ya watanzania!!!.
Hahaha ukapimwe siyo bure
 
this is another bongolala to avoid like plague! kwa section ya watanzanian JF yeye ni chips mayai hatoshi mboga huko!!!!
 
moja ya kitu kizuri ni kuikumbatia nchi yako moyoni pamoja na mapungufu yake

Tanzania inawakilishwa na dar (mji wa pwani) huku nairobi ikiwakilishwa na nairobi (mji usio wa pwani) kwa kuwa ndipo watu wa mataifa mengine hufikia,
pwani hujulikana kwa utaratibu na bara kwa uchangamfu katika kazi na hii ni kwa kenya na tanzania je, makao makuu ya Tanzania yangekuwa bara kama arusha,kilimanjaro, iringa, mbeya huku Kenya ikiwa ni mombasa je, hii perception tungekuwa nayo ???????..........

ukisema Tanzania bado imelala kwa kuwa unaona opportunities nyingi ambazo hazipo Kenya utakuwa unakosea kwa kuwa sisi ni jamii mbili tofauti yaani, a kenyan is raised nd prepared in search of opportunities that are not around so, he must be aggressive enough to win over the others while a Tanzanian is raised to inherit whats around him and get prepared to live a humble life (with humanity and a negative perception towards being an opportunists) enough to be acceptable by the society .both ways have negativities and positivities

ni kweli viongozi wetu wamekosa vision na hii inachangiwa na katiba yetu inayoruhusu mtu anayejua kuandika na kusoma kuwa MP na huyu ndiye mtu tunamtegemea kutengeneza policy ya kujua potentuality ya mwanza ,mbeya ama kagera !!!!!!!!!!

kuongezeka kwa sector ya ujenzi ,biashara na kilimo cha kisasa inatia matumaini kwa kweli. urbanization nayo imeshika kasi na kila sehemu ya Tanzania inakua....
bado tatizo lipo katika elimu ,teknolojia, utawala na utungaji wa sera lakini naamini tutafika tu

Utakua hujanielewa, sijasema Kenya hamna opportunities, zipo na huwa tunazichangamkia balaa. Tungelala basi nchi yetu ingekua nyuma ya Tanzania kwa kila kitu, maana kainchi ketu kadogo na hakana raslimali nyingi lakini tunaongoza ukanda wote huu kwa elimu, kiuchumi, miundo mbinu, kimichezo na kila kitu. Hiyo ni kwa sababu huwa tunachangamkia fursa kwa kujituma.

Ninachokisema ni kwamba, Bongo fursa nyingi mnaziacha zinaelea tu. Unakuta mtu anafanya kazi ya ulinzi mjini Dar halafu anakuambia kwao Usukumani ana ardhi kubwa sana, sasa unabaki kushangaa kafuata nini. Ukisafiri kwa bus Tanzania unaona maeneo makubwa hayajalimwa yameachwa tu wazi, ilhali kila siku kwenye runinga zenu migogoro ya ardhi ndio habari.

Tanzania nimeishi, nilichangamkia fursa na kutengeneza hela kiulaini sana.
 
this is another bongolala to avoid like plague! kwa section ya watanzanian JF yeye ni chips mayai hatoshi mboga huko!!!!

Eeh nilimwona... Kumbe ni CCM boot licker so the guys from Chadema hate him with a passion so anakujaa huku apate orgasmic kick... Bure huko huwa ameweka mkia katikati ya miguu
 
Utakua hujanielewa, sijasema Kenya hamna opportunities, zipo na huwa tunazichangamkia balaa. Tungelala basi nchi yetu ingekua nyuma ya Tanzania kwa kila kitu, maana kainchi ketu kadogo na hakana raslimali nyingi lakini tunaongoza ukanda wote huu kwa elimu, kiuchumi, miundo mbinu, kimichezo na kila kitu. Hiyo ni kwa sababu huwa tunachangamkia fursa kwa kujituma.

Ninachokisema ni kwamba, Bongo fursa nyingi mnaziacha zinaelea tu. Unakuta mtu anafanya kazi ya ulinzi mjini Dar halafu anakuambia kwao Usukumani na ardhi kubwa sana, sasa unabaki kushangaa kafuata nini. Ukisafiri kwa bus Tanzania unaona maeneo makubwa hayalimwa yameachwa tu wazi, ilhali kila siku kwenye runinga zenu migogoro ya ardhi ndio habari.

Tanzania nimeishi, nilichangamkia fursa na kutengeneza hela kiulaini sana.
Acha kujishaua wewe. Kenya imeendelea kivipi? Kwanini unatoa mate kwa mali ya wengine? Mali za Tanzania ni za watanzania na vizazi vijavyo. Kama nyie mmeharibu nchi yenu na hatimaye kuwa jangwa ni kwa sababu babu zenu walikuwa wajinga wasio fikiria vizazi vijavyo. Kwa hiyo acha kujishaua.

Hukuna chochote utasema mmezidi Dar zaidi sana Dar imewazidi. Acha kuwa na uchu wa fisi.
 
Eeh nilimwona... Kumbe ni CCM boot licker so the guys from Chadema hate him with a passion so anakujaa huku apate orgasmic kick... Bure huko huwa ameweka mkia katikati ya miguu
Mmeishiwa point. Sasa mtageuka kuwa vichaa. Leteni Drone Video za Nairobi.
 
Nime mweleza mwenzio
Unawezaje kukimbizana na Mwehu wewe ukiwa mzima!!?
Wacheni kupanic
Mimi sikunji mkia kwa yeyote humu jf .
Wakenya mmejawa dharau kuliko uwezo wenu.
 
Mmeishiwa point. Sasa mtageuka kuwa vichaa. Leteni Drone Video za Nairobi.
Jamaa wamekimbilia kupanic
Sija post video yeyote humu
Lakini wameanza kunishambulia hahaha!!!
 
ubora wa mji haupimwi kwa picha za drones!
Ubora utategemea Zaidi jinsi mji unavyoweza kutoa huduma wa watumiaji!
Majengo yaliyopo Dar, au Nairobi yanaweza kuyazidi kwa uzuri majengo ktk mji wa Liverpool, lkn kamwe miji hii mitatu yaweza kuwa na standards tofauti za ubora kulingana na ubora wa utoaji wa huduma na kufikia vigezo stahiki!
Vi-jiji vyetu vy dar na Nai kipindupindu kila leo haviwezi kuwa na sifa yeyote! No running water, congestions na umeme wa mgao!
ila kwa urembo Nairobi inaizidi Dar, at least ktk picha mnazorusha humu!
 
Out of topic. Soma thread inasemaje. Nani kaongelea ubora wa mji hapa? Hapa tunaongelea drone video. Unatakiwa ujikite kwenye thread. Acha ku complicate maisha.
 
this is another bongolala to avoid like plague! kwa section ya watanzanian JF yeye ni chips mayai hatoshi mboga huko!!!!
Wacha kupanic kijana
Mbona mchache wewe!!!
Nenda kwenye mada
Wacha kupoyoka hovyo
[HASHTAG]#Darasa[/HASHTAG][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Out of topic. Soma thread inasemaje. Nani kaongelea ubora wa mji hapa? Hapa tunaongelea drone video. Unatakiwa ujikite kwenye thread. Acha ku complicate maisha.
Jibu murua
 
ubora wa mji haupimwi kwa picha za drones!
Ubora utategemea Zaidi jinsi mji unavyoweza kutoa huduma wa watumiaji!
Majengo yaliyopo Dar, au Nairobi yanaweza kuyazidi kwa uzuri majengo ktk mji wa Liverpool, lkn kamwe miji hii mitatu yaweza kuwa na standards tofauti za ubora kulingana na ubora wa utoaji wa huduma na kufikia vigezo stahiki!
Vi-jiji vyetu vy dar na Nai kipindupindu kila leo haviwezi kuwa na sifa yeyote! No running water, congestions na umeme wa mgao!
ila kwa urembo Nairobi inaizidi Dar, at least ktk picha mnazorusha humu!
Maoni yako yaheshimiwe!!!

Haya rudi ulingoni
 
Out of topic. Soma thread inasemaje. Nani kaongelea ubora wa mji hapa? Hapa tunaongelea drone video. Unatakiwa ujikite kwenye thread. Acha ku complicate maisha.
Ahsante kwa kunikumbusha kurejea mstarini!
Sorry kwa kuwatoa nje ya mada!
Naomba wekeni na worst parts za miji yenu!
Sampuli za Kwa Mtogole na kibera ili tuone na the other sides za miji yenu!
 
Hahaha sasa unaitaja kibera!!
Hujui unawatusi watu!!
Kuna wapenda sifa duniani sio mchezo
Wapo radhi kumkana mzazi wake kwakuwa hayupo smart
Usishangae wakaikana Kibera haipo kwao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
pole yao!
I think haya sio mashindano, just getting to know the other side of the boarder!
Ukiona Kibera, Tandale, Mikoroshini ni sehemu tu ya ku-appreciates changamoto za matabaka ya kiuchumi ktk majiji yetu!
 
Wewe utakuwa mgeni wa jukwaa hili. Kwa nini usifanye kazi hiyo wewe?
 
Back
Top Bottom