LGE2024 Dar es Salaam: Vyama 14 vya Siasa vyadai kuridhishwa na matokeo ya Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Usiseme vyama vya siasa, sema, vyama chawa wa CCM 14 vimepongeza uchaguzi ulivyofanyika.
 
Vyama 14 vya kihuni
 
Vyama vya mikobani hivyo, vipo kwa ajili ya kusifia michezo michafu ya ccm
 
Nchi imejaa upuuzi na wapuuzi

Ccm na mwenyekiti wao ni wapuuzi tu
 
Vinaitwa pets party. Huwa vinaanzishwa na system
 
Nimeona comments nyingi sehemu mbali mbali watu wakilaumu vyama kushiriki uchaguzi bila katiba mpya,
walishauri vyama hivyo ambavyo ni makini vingesusia uchaguzi hadi pale serikali itakapokubali
kuwa na tume huru ya uchaguzi.

Kwa Tamko hili la vyama ni majibu tosha kwa swali la hapo juu, Ingetokea CDM,ACT na CUF wakafanya hivyo
muda huu tungekuwa na waganga njaa kibao kutoka vyama hivi 14, ambao wangeshinda kimagumashi
ili kuonyesha kuwa demokrasia inafuata mkondo hapa nchini.Na hali ingekuwa mbaya zaidi

Kwa maoni yangu ni kwamba,msajili wa vyama vya siasa,angefuta vyama vyote
ambavyo hujitokeza wakati wa uchaguzi tuu,baada ya hapo huwezi kuwasikia popote,wakifanya chochote
hata kuipongeza serikali kwa kazi nzuri basi iliyofanyika,Huwasikii kabisa hadi uchaguzi utangazwe.
Hawa wangefutwa kabisa,labda tungeweza kupunguziwa mzigo wa kodi kwa ruzuku za bure wanazopewa kupunguzwa.
 
Kwa kauli iyo kutoka ktk vyama 14 vya siasa vinatosha kuwaaminisha mabeberu kuwa uchaguzi ulikua wa huru na haki 🀣🀣🀣
Kwani Mabeberu wanachokitaka ni Haki ??!
Wanachokitaka wao ni maslahi yao yasiguswe tu !!
Ukijichanganya ukayagusa Unanata hapo hapo πŸ˜³πŸ™„!!

Mbona Nchi za Uarabuni hawawaambii wawe na Demokrasia ya vyama vingi. ???!
Wale wote waliotaka kuleta ujuaji leo hawapo tena !
Iko vile bandugu !
Domokasia ndio iko vile πŸ˜…πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™πŸ‘
 
Matawi kumi na nne ya CCM yasema yameridhishwa na matokeo ya UCHAFUZI wa serikali za mitaa na vijiji.
 
Matawi ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…