Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

nyboma

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
2,308
Reaction score
7,366
Wanawake wengi wanaojiuza (wasimbe) wanajificha katika kivuli cha uanafunzi, wiki kadhaa zilizopita nilipata dharula nikawa nahitajika Dar es Salaam.

Baada ya kumaliza kazi zangu nikaamua kusogea katika moja ya migahawa mikubwa tu hapa katika wilaya ya Kinondoni na ndipo nikabahatika kukaa na binti mmoja mzuri sana kimuonekano na kiumbo.

Katika stori mbili tatu akajitambulisha ni mwanafunzi, nikasema si vibaya nikafanya kumlipia chakula chake nikachukua na namba ya simu.

Wikiendi kwa kuwa nilikuwa nipo bored nikasema si vibaya nikapata kampani moja kwa moja katika kupekua simu nikamtafuta mwanafunzi yule aje ajumuike nami na gharama zote za usafiri, chakula na vinywaji ni juu yangu.

Alivyofika alikuwa kawaka sana kiukweli, nikawa najiuliza huyu hana boom, hata kama ni pesa za nyumbani si kwa kuwaka hivi akafika akala samaki mzima na chips, nikaleta vinywaji akanywa katika story mbili tatu akaniambia ni mwanafunzi wa chuo X…

Bahati nzuri kuna mwenzagu ni Prof. Pale katika kumchombeza nikagundua hamfahamu moja kwa moja nikajua huyu si mwanafunzi bali ni wale wanawake wanaojiuza wanaojificha katika kivuli cha uanafunzi.

Kwa kuwa napenda kudunmbukiza nyama nikaona si vibaya nikaenda kumchakata kama kawaida kwa kweli nilikuta nyama ni ya kawaida sana.

Ila kwa kuwa nilikuwa na njaa nikaamua kuila sikususa, asubuhi nikamlipa chake nikarudi zangu kazini kuendelea na majukumu kama kawaida.

Hivyo tusidanganyike na hawa wanawake wanaojifanya wanafunzi wengi wao ni malaya wanaojificha katika kivuli cha uanafunzi.
 
Waongo waongo sana, nilikutana na kitoto kinaniambia kinasoma engineering mlimani, kisijue mi najua viunga vyote vya pale.
Baada ya maswali mawili matatu nikagundua hamna kitu hapa..
Nilijiuliza sana kwanini hasa kidanganye?? [emoji1]
 
Wewe bwana, kwamba ili kutambua kuwa mtu fulani ni anasoma chuo fulani basi utatumia Proffesor mmoja wa hicho chuo?

Labda kama ulimaanisha shule kwahiyo ulimuuliza huyo proffesor kama mwalimu wa darasa, lakini CHUO hakuna proffesor wa kukaa na kujua kila mwanafunzi.
 
Waongo waongo sana, nilikutana na kitoto kinaniambia kinasoma engineering mlimani, kisijue mi najua viunga vyote vya pale.
Baada ya maswali mawili matatu nikagundua hamna kitu hapa..
Nilijiuliza sana kwanini hasa kidanganye?? [emoji1]
Sii ili umuheshimu kuwa ni kichwa🤣🤣🤣
 
Sisi wanaume ndio malaya Mbona wao hatuoni Nyuzi zao hapa za Kujisifu!
 
Labda mtoa mada anazungumzia vyuo kama city college,veta,au kilimanjaro. Kwa vyuo kama UDSM ni ngumu mtu wa SOED akafahamu ma prof.wa UDBS,CONAS ,COICT au COET. Labda kama ulimtajia jina la prof mukandala halafu aseme hamjui.
 
Back
Top Bottom