Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

Wengi ni wauzaji tuu hata wake za watu sikuiz wanajiuza kiaina.

Anakuwa home ila namba za simu zpo kwa hotel flan flan akipatikana mteja anapigiwa anaenda kuuza akimaliza anarud zake home yan kama si yeye vile
 
Kama kipimo chako cha mtu kuwa mwanafunzi ni kumjua lecturer basi hata mie kipindi nasoma tungekutana ungesema sio mwanafunzi maana hadi walimu waliokua wananifundisha nilikua siwajui vizuri.

Kuna kaukweli flani kwenye hilo na wengine wanapanga mpaka hostel wanazokaa wanafunzi wa vyuo.
Tumegundua wanaume mnapenda mwanamke anaefanya kitu fulani either asome au afanye kazi/biashara, hivyo wale wasio na vyote na umri uko chini wanajifichia kwenye chaka hilo la uanafunzi.

Mkuu na wewe upunguze um****ya mwanamke anaejiuzs anaweza akakupatia hata ugonjwa wa ngozi shauri ako
 
Labda mtoa mada anazungumzia vyuo kama city college,veta,au kilimanjaro. Kwa vyuo kama UDSM ni ngumu mtu wa SOED akafahamu ma prof.wa UDBS,CONAS ,COICT au COET. Labda kama ulimtajia jina la prof mukandala halafu aseme hamjui.
Prof Mukandala👍
 
Hiyo mbinu ipo kila sehemu hata hapa Dom watu wamepigwa sana kwa style hiyo
Tena wapo wadada ambao wamejipanga yaani atakudanganya anasoma UDOM au CBE ukimuuliza course anayosoma atakutajia sasa kama wewe hukuwahi kupitia huko huwezi kustuka
 
Ungeondoa neno wengi, kumla Binti Mmoja ushageneralize
 
Hoja iko sawa ila kipimo cha kwamba uthibitisho ni yeye kutokumfahamu huyo Prof. sio sawa ni kawaida sana kama hamfamu it's normal.

Mwingine anasema yuko chuo ukimuliza fani gani anasema CBG mwaka wa pili.
 
Apo alifeli story yake ni chai
 
Mnatukataa tatizo tukirusha vocal[emoji16]
 
K za dar hazina ladha.
 
Apo alifeli story yake ni chai
Inawezekana isiwe chai Sema na yeye ana ushamba flani hivii. Hicho kipimo cha kujua walimu kachemka labda kama hajui maisha ya chuo yakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…