Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Sasa kama kukubali ni maamuzi ya mtu kwa nini unalazimika kuniambia kuwa ni polisi wamesema?Kama kukubali ni hiari ya mtu kubali wewe mwenyewe huko,mimi naamini walichosema polisi ni tuhuma tu na wala siyo fact kwa sababu hakuna ushahidi wowote.
Hiyo ni wewe
 
Eti Mimi nilijua tuu hatutoboi kwa hili mbanga linalopigwa hatutoboiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maandamano ya wananchi siku zote na popote huwa yanatoka mioyoni mwao, na mioyo ya watanzania haitamani kabisa maandamano

Hili la kuwashawishi vijana kufanya uharibifu ni la vibaraka ili wapate ushahidi anaoutaka amstadam limeshawaharibia na ni uhuni
 
Pole sana. Tatizo lako unatakakutubebesha watanzania wote. Umebugi na terminology zako hizo za kizungu.
 
Pole sana. Tatizo lako unatakakutubebesha watanzania wote. Umebugi na terminology zako hizo za kizungu.
Ukiona kichwa chako chepesi kama madam polepole kwenye baadhi ya mambo sio dhambi kupita kimya kimya, upo hapa dada angu ?
 
Binti yangu nina alergy na vilaza, kaa mbali na comment zangu nisije nikakufilimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…