Kupongeza sio dhambi ,inauma pale ambapo Kikundi fulani kisipochaguliwa ndio hakuna demokrasia.
Chadema iachane na uanaharakati hicho ni chama kipo kwa mujibu wa katiba na sheria vimesajiliwa kwa msajili kwa kazi hiyo ya kichama ,hakikusajiliwa kuwa ni NG'O za kiharakati wajifunze wawe serious na mambo ya kitaifa.
Chadema inafungua mkutano haisali wala husikii kiongozi kusema awali ya yote namshuluru Mungu hakuna ,wanafungua nakufunga hivyo hivyo halafu viongozi wa Kidini waunge mkono wapi unadhani.
Jaman tuweni wakweli Chadema inajizika yenyewe.