Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Hivi mnaotaka waandamane ni hawahawa watu wanaogopa kupita makaburini usiku🤔?
 
Halafu wanakosea wanaposema kwamba ni vurugu wakati ni maandamano ya amani kudai Uchaguzi huru na wa haki, Kudai Tume huru ya Uchaguzi, Uchaguzi uandaliwe sababu kilichofanyika Tanzania tarehe 28 hakikuw na sifa za kuitwa uchaguzi
Nauliza kwa sauti, Je, ulilazimishwa kupiga kura?
 
Pole ya nini? Watanzania asilimia sabini hawakubaliani na kilichofanyika tz
Ndo muende barabarani sasa sio kulalamika huku jamii forum.
Mmetangaziwa eneo na muda ni Nini shida sasa??🥺
 
HUYU NI MBOWE ALITAKA KUANDAMANA YUKO NA MDEE
 

Attachments

  • MAANDAMANO.jpg
    MAANDAMANO.jpg
    14.1 KB · Views: 3
mambo sasa ni miongoni mwa watu wajinga sana kuwahi kuwepo kwenye uso wa Dunia

Anaongea kana kwamba hajui hata sudani kulikuwa na mtu mwenye cheo kama chake
 
Nenda kwenye maandamano sasa Kama wewe upo online unachat muda huu nani ataandamana sasa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
[emoji2

Andamana ili upate haki Mimi Nina haki nilimchangua JPM na ameshinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimegundua wanaohamasisha maandamano wanavitambi hawana uwezi wa kutembea na kuhimili mikimbizano na wajeda,,,wamebakia kuandamana kwenye keybody
 
Sasa imekuwaje umshindwa kuandamana?
Hii nchi siku hizi haiendeshwi kwa katiba na kwa tanzania mtu kuwa juu ya sheria sio jambo la kushangaza, wavunjifu wa sheria ni hao hao wakubwa. Fuatilia mienendo yao katika kampeni kisha linganisha na sheria za nec zinazompa muongozo mgombea

Suala la maandamano halipo kwenye katiba tu, ni jambo ambalo linatambulika na UDHR na sisi kama TZ tulisaini mkataba huo na kuahidi kuitekeleza
 
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana.

Walikamatwa ni pamoja na Baunsa wa aliyekuwa Mbunge Kawe, Halima Mdee na wengine wawili ambao wamekamatwa kuzuia vurugu zinazopanga kufanyika.

Kamanda Mambosasa amesema watu hao walikamatwa wakiwa katika vikao vya kupanga vurugu hizo ambazo zimepangwa kufanyika leo.

Waliokuwa wanatakiwa kuandamana wametakiwa kuchoma matairi barabarani, kuchoma magari, vituo vya mafuta na masoko wameahidiwa pesa.

Pia watu wanaotumika kushawishi wanaambiwa wawatafute vijana wasio waoga, wanaotumia dawa za kulevya.

PIA SOMA:
= > Uchaguzi 2020 - ACP Mambosasa: Tunawashikilia Mbowe, Lema na Boniface Jacob kwa kuhatarisha maisha ya Raia na mali zao
Tukafanye kazi sasa, kila jambo na wakati wake. Tumechoka kuitwa nchi masikini.
 
Wewe upo wapi? Mbona Polisi kwa uoga wamewakata tokea jana kabla ya maandamano yenyewe kabsa, ni kwa nini hawakusubiri waandamane kabsa
Hizi ni pumba tu tena shudu kabisa. Mmefika wapi kwenye maandamano. Au ndio mnatoka twitter kwenda instar then facebook
 
Kuna wakati Humphrey polepole alikuwa anahojiwa akasema kama China kuna democracy basi nikajua tumemalizika kama taifa. Tutakuwa Taifa la majuha kila siku utaona press conference za kumpomgeza JPM.
Kupongeza sio dhambi ,inauma pale ambapo Kikundi fulani kisipochaguliwa ndio hakuna demokrasia.

Chadema iachane na uanaharakati hicho ni chama kipo kwa mujibu wa katiba na sheria vimesajiliwa kwa msajili kwa kazi hiyo ya kichama ,hakikusajiliwa kuwa ni NG'O za kiharakati wajifunze wawe serious na mambo ya kitaifa.

Chadema inafungua mkutano haisali wala husikii kiongozi kusema awali ya yote namshuluru Mungu hakuna ,wanafungua nakufunga hivyo hivyo halafu viongozi wa Kidini waunge mkono wapi unadhani.

Jaman tuweni wakweli Chadema inajizika yenyewe.
 
Walipiga kampeni na kuhesabu kura kwa kuzingatia comments zao mitandaoni, amini nakwambia hata maandamano yao yataanzia mitandaoni na kuishia mitandaoni.
Sasa kama JF kigogo kasema walinunuliwa kwa $400 ili kuchafua mazingira ili ionekane promo ni Chade .
 
Back
Top Bottom