Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ni kwasababu nchi hii haijawahi kuwa na maandamano wavimba macho wengi wamejijengea dhana potofu kua kila kinachoitwa maandamano ni "mfumo wa uvunjifu wa amani" na "kuhamasisha vurugu"Amani ipi inavurugwa tokea lini maandamano ya Amani yakavuruga chochote?
Watu kama hawa wanaoshindwa ku reason vitu vidogo kama hivi, ndio aina ya viongozi ambao serikali imewachagulia waende kuwawakilisha huko bungeni