Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

CHADEMA hawajashindwa.
Wanyonge wanyongeni lakini HAKI ZAO WAPENI.
Hauwezi ukasema CCM imeshinda uchaguzi labda mshipa wa aibu ukatike..
Muwe na AIBU
Vita itokee wapi? Yaani CHADEMA ikishindwa ndio vita itokee? Kwa hiyo watanzania wote mil 60 unaona hawana akili kama wewe?
Screenshot_20201101-101529.jpg
 
Hahahaha hah Leo wameshikwa PABA ya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi natamani kumuona Mr and Mrs Mbowe, Mr and Mrs Zitto, Mr and Mrs Maalimu, Mr and Mrs Lissu, Mr and Mrs Salim pamoja na familia zao wakiwa wanaongoza maandamano.
Mkiwaona huko mniite mapema.
 
Mwanangu chimba dhahabu tu,ukihila nitakuchek ufanye mambo.
Siwezi kuacha kutafuta pesa kwaajili ya familia yangu, then niende kwenye mambo ya kijinga.
Lakini pia siwezi kuona watu wakionewa, kisha nikafurahia...
 
Mimi natamani kumuona Mr and Mrs Mbowe, Mr and Mrs Zitto, Mr and Mrs Maalimu, Mr and Mrs Lissu, Mr and Mrs Salim pamoja na familia zao wakiwa wanaongoza maandamano.
Mkiwaona huko mniite mapema.
Hali ya nchi ilivyofikishwa haiwahusu hao inawahusu waTanzania wote ukiwemo wewe na raisi mteule,kumbuka misingi mnayoiweka itakuja kuwakanyaga wenyewe na mtakuwa hamna wa kumlaumu,tunawaona leo baba mama mtoto wanakaa kuiparamia CCM na walikuwa viongozi wakuu na siasa zao za maji taka ,leo hawawezi hata kukemea kitu zaidi ya kujipitisha kwa waliopo madarakani.

sasa hata Magufuli one day yes atakaa benchi atatamani awe mbali na serikali ili atumbue hela aliyoivuna lakini utawala alioujenga hautampa ruhusa,sijui mmenielewa au nazungumza na mazwazwa waliobobea kwa uwongo.
 
Hivi kidogo kidogo, siku itatiki tutachoma moto mpaka makaburi yenu CCM
 
Vita itokee wapi? Yaani CHADEMA ikishindwa ndio vita itokee? Kwa hiyo watanzania wote mil 60 unaona hawana akili kama wewe?
Ni kweli uliyosema hawana AKILI kwa vile wanakubali DHULUMA kutoka kwa MRUNDI wa CHATO
 
Potential waandamanaji wengi saa hizi wapo ofisini wakihamasisha maandamano kupitia mitandao ya kijamii ambayo watu wengi hawana access nayo

Hii ndio Tanzania ya tangu enzi za hayati Mwalimu JK Nyerere!
 
Mjinga wewe maandamano ya amani yasiyo na kikomo ndio yapi hayo, ulishawahi sikia
Ona mpumbavu mwingine huyu hapa

Umeambiwa kikomo chake ni pale mpaka tume huru iundwe upya huku NEC na ZEC zikivunjwa na kuitishwa uchaguzi mpya
 
Ufungue kesi kwenye mahakama ipi?.
unajua jaji mkuu anachaguliwa na nani? Analipwa mshahara na nani?
Mnataka watu waende mahakama sababu mnajua mahakama inachukua muda kutoa hukumu?.
Huu ni uchafuzi, hauhitaji uwe na degree kujua hilo
mkubali mkatae magufuli amefeli uchaguzi huu.
Kwa akili yako we mjingawewe huo ni ushahidi? Na kama kweli mlizikamata mnasubiri nini kufungua kesi?
Screenshot_20201101-101529.jpg
Screenshot_20201028-191013.jpg
Screenshot_20201029-061237.jpg
 
Nimesikitika sana upinzani kushindwa kuandamana leo, mana nilikuwa nmeandaa maji ili nione wanavopigwa virungu huku nakunywa maji
 
[emoji16][emoji16][emoji16].hayo ya uongo umesema wewe.
Tunajua CCM imeiba kura.
Magufuli akae vizuri na viongozi wa upinzani awapooze.azame hazina atoe mzigo.
Ila ukweli usiopingika CCM wameiba kura.
Mimi kwangu wapinzani wataendelea kuwa WASHINDI.mimi naamini chadema na Act WAZALENDO ndo wameshinda uchaguzi.ila wamedhulumiwa.
Uongo mtupu, kama ni ushahidi wa kweli kwa hiyo ndio muingie barabarani?
 
[emoji16][emoji16][emoji16].hayo ya uongo umesema wewe.
Tunajua CCM imeiba kura.
Magufuli akae vizuri na viongozi wa upinzani awapooze.azame hazina atoe mzigo.
Ila ukweli usiopingika CCM wameiba kura.
Mimi kwangu wapinzani wataendelea kuwa WASHINDI.mimi naamini chadema na Act WAZALENDO ndo wameshinda uchaguzi.ila wamedhulumiwa.
Ahaaaaa,kwa hiyo shida yenu pesa tu baada ya kukosa ubunge?
 
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana...
Mambosasa ni SACP siyo ACP. Kijeshi unakua umemkosea sana kumpunguzia rank yake.
 
Back
Top Bottom