1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
[emoji16][emoji16]Mkuu hivyo avatar yako inaonyesha kabisa huwez tia mguu pale ubungo Leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16]Mkuu hivyo avatar yako inaonyesha kabisa huwez tia mguu pale ubungo Leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Okay....Unasikitika nini? Unadhani hayo hayawezi kufanyika? Wanasiasa sio watu. Kama mtu alianguka akavunja mguu alafu anadai alivamiwa atashindwa kufanya uhuni wa kukodi watu kufanya vurugu?
Sijafurahia, nataka nikuone kwenye luninga uko mbele unaandamana na Mbowe.Okay....
Basi tufanye NIMEFURAHIA.
Are you happy sasa..??
Si andamana mkuu kwani shida iko wap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani huyu mambosasa ana uongo wa kijinga kweli. Hauhitaji kuwa na diploma kujua kuwa anachoongea ni cha kupikwa.
Kwali leo kuna maandamano wapi mkuu..[emoji44][emoji44]Sijafurahia, nataka nikuone kwenye luninga uko mbele unaandamana na Mbowe.
Vita itokee wapi? Yaani CHADEMA ikishindwa ndio vita itokee? Kwa hiyo watanzania wote mil 60 unaona hawana akili kama wewe?
Mwanangu chimba dhahabu tu,ukihila nitakuchek ufanye mambo.Kwali leo kuna maandamano wapi mkuu..😲😲
Na huyo mbowe unaemtaja, sina hakika kama pia ni mkazi wa hapa kijijini kwetu Nyaluyeye...😎😎
Mkuu wahiii siti ya mbele uvunjwe mguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwali leo kuna maandamano wapi mkuu..[emoji44][emoji44]
Na huyo mbowe unaemtaja, sina hakika kama pia ni mkazi wa hapa kijijini kwetu Nyaluyeye...[emoji41][emoji41]
Huyu Mambosasa mbona ni mpuuzi sana!! Hivi kamanda wa polisi unawezaje kutoa kauli kama hii?!!Pia watu wanaotumika kushawishi wanaambiwa wawatafute vijana wasio waoga, wanaotumia dawa za kulevya.
Nenda kwenye maandamano sasa Kama wewe upo online unachat muda huu nani ataandamana sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi wa huo wizi upo? Kama upo nendeni Mahakamani. Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa CHADEMA ndio uchaguzi uwe wa haki?Sasa kama chama kimoja kinawanyima wananchi kuchagua wawakilishi wao vurugu zitakwepekaje hapo. Uibe uhuru wa wananchi kuchagua wawakilishi wao udhanie utabaki salama haitawezekana
Andamana ili upate haki Mimi Nina haki nilimchangua JPM na ameshinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama chama kimoja kinawanyima wananchi kuchagua wawakilishi wao vurugu zitakwepekaje hapo. Uibe uhuru wa wananchi kuchagua wawakilishi wao udhanie utabaki salama haitawezekana
Ingieni barabarani mshughulikiweSasa kama chama kimoja kinawanyima wananchi kuchagua wawakilishi wao vurugu zitakwepekaje hapo. Uibe uhuru wa wananchi kuchagua wawakilishi wao udhanie utabaki salama haitawezekana
Mkuu naona umewakomalia kinoma! Hahahaaaaa!Si andamana mkuu kwani shida iko wap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Mambosasa mbona ni mpuuzi sana!! Hivi kamanda wa polisi unawezaje kutoa kauli kama hii?!!
Yaani unasema wanatafuta vijana wanaotumia madawa ya kulevya?!!
Yeye kama kamanda wa polisi ambaye ana jukumu la kuzuia matumizi ya madawa ya kulevya anafanya nini hadi hao vijana wanakuwepo mkoani kwake?
Tuliambiwa awamu hii imetokomeza 'wauzaji wa madawa', haya yanayotumiwa na hawa vijana yametoka wapi?!!
Watu wanaenda kupewa kesi za ajabu sasa. Huu ni uoga.Waliokuwa wanatakiwa kuandamana wametakiwa kuchoma matairi barabarani, kuchoma magari, vituo vya mafuta na masoko...
Usitafute kichaka muda ndio huu kama mnaweza ingieni uwanjan mvunjwe,Valium pia ni dawa za kulevya zikitumika vibaya
Sijui kwanini askari na maafisa wa majeshi waliopanda kila cheo kwa kozi maalumu waendeshwe na mwanasiasa ambaye hata definition ya siasa haijui!!Nchi ishaharibika hii