Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Unasikitika nini? Unadhani hayo hayawezi kufanyika? Wanasiasa sio watu. Kama mtu alianguka akavunja mguu alafu anadai alivamiwa atashindwa kufanya uhuni wa kukodi watu kufanya vurugu?
Okay....
Basi tufanye NIMEFURAHIA.
Are you happy sasa..??
 
Yaani huyu Mambosasa ana uongo wa kijinga kweli. Hauhitaji kuwa na diploma kujua kuwa anachoongea ni cha kupikwa.
 
Vita itokee wapi? Yaani CHADEMA ikishindwa ndio vita itokee? Kwa hiyo watanzania wote mil 60 unaona hawana akili kama wewe?

Sasa kama chama kimoja kinawanyima wananchi kuchagua wawakilishi wao vurugu zitakwepekaje hapo. Uibe uhuru wa wananchi kuchagua wawakilishi wao udhanie utabaki salama haitawezekana
 
Kwali leo kuna maandamano wapi mkuu..[emoji44][emoji44]
Na huyo mbowe unaemtaja, sina hakika kama pia ni mkazi wa hapa kijijini kwetu Nyaluyeye...[emoji41][emoji41]
Mkuu wahiii siti ya mbele uvunjwe mguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pia watu wanaotumika kushawishi wanaambiwa wawatafute vijana wasio waoga, wanaotumia dawa za kulevya.
Huyu Mambosasa mbona ni mpuuzi sana!! Hivi kamanda wa polisi unawezaje kutoa kauli kama hii?!!

Yaani unasema wanatafuta vijana wanaotumia madawa ya kulevya?!!

Yeye kama kamanda wa polisi ambaye ana jukumu la kuzuia matumizi ya madawa ya kulevya anafanya nini hadi hao vijana wanakuwepo mkoani kwake?

Tuliambiwa awamu hii imetokomeza 'wauzaji wa madawa', haya yanayotumiwa na hawa vijana yametoka wapi?!!
 
Nenda kwenye maandamano sasa Kama wewe upo online unachat muda huu nani ataandamana sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwani huwezi kucht ukiwa unatembea au online ni nyumba isiyohamishika mbona unakuwa na akili mgando hivo
 
Sasa kama chama kimoja kinawanyima wananchi kuchagua wawakilishi wao vurugu zitakwepekaje hapo. Uibe uhuru wa wananchi kuchagua wawakilishi wao udhanie utabaki salama haitawezekana
Ushahidi wa huo wizi upo? Kama upo nendeni Mahakamani. Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa CHADEMA ndio uchaguzi uwe wa haki?
 
Sasa kama chama kimoja kinawanyima wananchi kuchagua wawakilishi wao vurugu zitakwepekaje hapo. Uibe uhuru wa wananchi kuchagua wawakilishi wao udhanie utabaki salama haitawezekana
Andamana ili upate haki Mimi Nina haki nilimchangua JPM na ameshinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Kicheko
Reactions: len
Sasa kama chama kimoja kinawanyima wananchi kuchagua wawakilishi wao vurugu zitakwepekaje hapo. Uibe uhuru wa wananchi kuchagua wawakilishi wao udhanie utabaki salama haitawezekana
Ingieni barabarani mshughulikiwe
 
Usitafute kichaka muda ndio huu kama mnaweza ingieni uwanjan mvunjwe,Valium pia ni dawa za kulevya zikitumika vibaya
Huyu Mambosasa mbona ni mpuuzi sana!! Hivi kamanda wa polisi unawezaje kutoa kauli kama hii?!!

Yaani unasema wanatafuta vijana wanaotumia madawa ya kulevya?!!

Yeye kama kamanda wa polisi ambaye ana jukumu la kuzuia matumizi ya madawa ya kulevya anafanya nini hadi hao vijana wanakuwepo mkoani kwake?

Tuliambiwa awamu hii imetokomeza 'wauzaji wa madawa', haya yanayotumiwa na hawa vijana yametoka wapi?!!
 
Waliokuwa wanatakiwa kuandamana wametakiwa kuchoma matairi barabarani, kuchoma magari, vituo vya mafuta na masoko...
Watu wanaenda kupewa kesi za ajabu sasa. Huu ni uoga.

Wapeni ulinzi waandamanaji waandamane kwenda huko wanakotaka kwenda huku wakitii sheria bila shuruti
 
Ulishampata Said Maganga?

Back
Top Bottom