Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
kwa analysis ndogo 5 nataka nikuoneshe kwanini tarehe 28 hakukua na uchaguzi huru&hakiNdugu haya ndio matokee ya uchaguzi mkuu JMT 2020. Aliyeshinda ni Dr. John Pombe Magufuli. Hakuna uthibitisho wa namna yoyote ile kwamba kura zilizopigwa siyo halali. Wananchi zaidi ya milioni 12 wameamuamua kumpa Dr. J.P. Magufuli miaka mitano tena ya uongozi wa nchi, sambamba na hilo wamewachagua madiwani, wawakilishi, na wabunge wanaoona wanawafaa. Ifike mahali muache kujiona kama nyie ndio mlifaa kushinda na siyo wengine.
View attachment 1617712
1. Mfanano wa matokeo ya kura kati ya jimbo moja na jimbo lingine
kiuhalisia huu muujiza hata yesu hajawahi ufanya, idadi ya watu 19,975 kutoka jimbo moja wampe kura mgombea mmoja halafu jimbo hilo hilo limpe mgombea mwingine kura 11,955. halafu matokeo haya yafanane na jimbo lingine kwa idadi hiyo hiyo
Hiki kitu hakiwezekani ahasilani
2. kura zilizokamatwa kwenye mabegi zilizopigwa na mhuri wa tume kabisa ambazo zote zilimpigia magufuli, vipi kwa ambazo hazikukamatwa?
kumbuka ushahidi wa video upo na mashahidi walioshuhudia ni pamoja na polisi
3. Angalizo au tahadhari aliyoitoa lissu siku moja kabla ya uchaguzi wakati wakufunga kampeni yake, kua tume na serikali ya ccm tayari imetengeneza njama za kuingiza kura milion 12 kinyemela kwa ajili ya kumpatia ushindi raisi Magufuli
4. Kuzimwa kwa mitandao ya kijamii ni ushahidi kwamba kuna vitu illegal kuhusu uchaguzi huu vinafichwa ili ulimwengu usijue
5. Kuzomewa kwa mbunge wa dodoma aliyepita baada ya uchaguzi ni dhahiri kabisa kua hakuchaguliwa na wananchi