kutoka leo mpaka 2030 ni miaka 16....katika miaka 16 hio tujenge
1.motorway around dar es salaam[london kuna m25 orbital na a406 circular]
2.tujenge underground train system complex kuliko zote duniani
3.road network zenye bus lane all over dar es salaam
4.fly overs almost kwenye barabara zote kubwa
5.sewage system ya kueleweka
6.airports stanstead,london city,luton,heathrow
7.overground train system mpya
kuna mambo mengi sana ya kufanya ili tufikie london,kwa idadi ya watu na ukubwa wa mji bila mpangilio tutafikia na kuipita london lakini kimaendeleo,nafikiri miaka 16 ni michache sana.
aisee ndani ya miaka 16 tukifanya haya kwa kweli tutakuwa mbali sana.......