Dar es Salaam will become a bigger city than London by 2030

Dar es Salaam will become a bigger city than London by 2030

Hashakum...muniwie radhi, waTZ Kwanza tujifunze kutumia choo, tujenge viyoo vya kutosha, tuelimihe jamii kuosha au kunawa mikono !! Baada ya hapo mengine yatafuata,
 
Nina mashaka makubwa na hii habari. Kuwa na public transport networks kama London itatuchukuwa zaidi ya miaka 50.
 
new york , london , tokyo , paris

ni miji mikubwa sana na ilioendelea duniani, kwahiyo dar es salaam itareplace london kwenye hiyo list??

jipeni moyo!!
 
2030 kwa takwimu za sensa ni kuwa sehemu kubwa ya watz watakuwa bado wanaishi na kuyaona kama ni kweli ama uongo. Vinginevyo ni ndoto tu tena ya mchana wakati unatembea barabarani
Hata kama tukichukulia london iishie hapo na isiendelezwe tena haliewezekani.
Labda wale wachache waamue waanze kuzirejesha pesa zao toka ughaibuni na kuja kuijenga dsm, lakini kwa mipango ya maendeleo jumuishi sidhani
 
Kukuwa kwa mji sio tija hata kama iwe kama Hong Kong lakini Je wananchi watafaidika na nini hata Nigeria wana mafuta mda mrefu lakini corruption inawamaliza Je sisi tunajipanga vipi kuelimisha watoto wetu wajao kuhusu ubadhirifu wa mali
 
Kweli watu akili haipo kabisa unataka ku fananisha London na dar es salaam hata miaka 1000 ijayo haito wezekana hawezi fikia hata outside London .hizo ni ndoto za mchana na akili ya bulicheka au ali nacha .
 
Mm naishi huku London cjaweza kufika hata sehemu zingine ni mji mkubwa sn
 
Penye nia pana njia tunayasubiri hayo maendeleo ila mafisadi walimalize deni lao la tilion 27 ifikapo 2015. Baada ya hapo
tutawaza hayo unayoyasema.
 
kutoka leo mpaka 2030 ni miaka 16....katika miaka 16 hio tujenge
1.motorway around dar es salaam[london kuna m25 orbital na a406 circular]
2.tujenge underground train system complex kuliko zote duniani
3.road network zenye bus lane all over dar es salaam
4.fly overs almost kwenye barabara zote kubwa
5.sewage system ya kueleweka
6.airports stanstead,london city,luton,heathrow
7.overground train system mpya
kuna mambo mengi sana ya kufanya ili tufikie london,kwa idadi ya watu na ukubwa wa mji bila mpangilio tutafikia na kuipita london lakini kimaendeleo,nafikiri miaka 16 ni michache sana.

aisee ndani ya miaka 16 tukifanya haya kwa kweli tutakuwa mbali sana.......
 
Mm naishi huku London cjaweza kufika hata sehemu zingine ni mji mkubwa sn

panda CENTRAL LINE UNDERGROUND from EALING BROADWAY mpaka EPPING ni zaidi ya saa nzima kwa tube train....hio ni 46mile kama 70km hivi........thats within london!!!! km 70 kutoka posta si ushafika chalinze au bagamoyo???!!!
 
Kweli watu akili haipo kabisa unataka ku fananisha London na dar es salaam hata miaka 1000 ijayo haito wezekana hawezi fikia hata outside London .hizo ni ndoto za mchana na akili ya bulicheka au ali nacha .

kindly edit your Avatar, Thanks..
 
kutoka leo mpaka 2030 ni miaka 16....katika miaka 16 hio tujenge
1.motorway around dar es salaam[london kuna m25 orbital na a406 circular]
2.tujenge underground train system complex kuliko zote duniani
3.road network zenye bus lane all over dar es salaam
4.fly overs almost kwenye barabara zote kubwa
5.sewage system ya kueleweka
6.airports stanstead,london city,luton,heathrow
7.overground train system mpya
kuna mambo mengi sana ya kufanya ili tufikie london,kwa idadi ya watu na ukubwa wa mji bila mpangilio tutafikia na kuipita london lakini kimaendeleo,nafikiri miaka 16 ni michache sana.

aisee ndani ya miaka 16 tukifanya haya kwa kweli tutakuwa mbali sana.......

kwa kweli wanatudanganya, london ina watu 10M, dar ~ 5M tumeshabanana miundombinu hairuhusu tukifika 10M, tutakuwa na mji wenye foleni, takataka, makazi holela ....
Kwa mwaka 2030 bado ni karibu sana kubadilisha miundombinu tuliyonayo.
 
Back
Top Bottom