life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,035
Hashakum...muniwie radhi, waTZ Kwanza tujifunze kutumia choo, tujenge viyoo vya kutosha, tuelimihe jamii kuosha au kunawa mikono !! Baada ya hapo mengine yatafuata,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua London Au umeamua kufurahisha watu!
Mm naishi huku London cjaweza kufika hata sehemu zingine ni mji mkubwa sn
Kweli watu akili haipo kabisa unataka ku fananisha London na dar es salaam hata miaka 1000 ijayo haito wezekana hawezi fikia hata outside London .hizo ni ndoto za mchana na akili ya bulicheka au ali nacha .
kutoka leo mpaka 2030 ni miaka 16....katika miaka 16 hio tujenge
1.motorway around dar es salaam[london kuna m25 orbital na a406 circular]
2.tujenge underground train system complex kuliko zote duniani
3.road network zenye bus lane all over dar es salaam
4.fly overs almost kwenye barabara zote kubwa
5.sewage system ya kueleweka
6.airports stanstead,london city,luton,heathrow
7.overground train system mpya
kuna mambo mengi sana ya kufanya ili tufikie london,kwa idadi ya watu na ukubwa wa mji bila mpangilio tutafikia na kuipita london lakini kimaendeleo,nafikiri miaka 16 ni michache sana.
aisee ndani ya miaka 16 tukifanya haya kwa kweli tutakuwa mbali sana.......