M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
hameni....magari yapo mengi....Unasema Metro......umeiona siku za karibuni kweli.......? kuna Kilimanjaro pia....jaribuni hiyo.....mifanyakazi ya Dar express in nyodo sana......
Mke wangu kanipigia simu yuko njiani kuelekea Dar akitokea Arusha...Kaondoka na Dar Express ya saa 4 kamili lakini anasema " Dad nimehuzunika sana kwani katika ticket wameandika saa 4 kamili, ila basi limeondoka saa tano na robo" huu ni ujumbe wa kweli na na akaendelea" Dad unajua nitafika Dar usiku, nampigia Vanessa aje kunichukua pale Ubungo. Gari lenyewe chafu, Lugha ya yule dada pale ofisini pia ilikuwa harsh imeniondolea mood". Nikampigia na kumtakia safari njema yenye uvumilivu na amani na maneno kidogo ya kimapenzi ili afarijike zaidi.... Kwa meseji hii ya leo kweli Dar Exp hawako vizuri. Ila nikalaumu rohoni kidogo...."kwanini asichague gari zuri, kwanini hakufanya online booking ya precision air ili asichoke sana...kuona tu wakwe?....atarudi lini? atakuwa salama? hajapoteza passport yake (hati ya kusafiria).........ni hii story ya usafiri kafiri na kwa kuwa imetokea kwa "my other half".
Preta, Pasi ya kusafiria kurudi nyumbani kwani nina wasiwasi kama kapoteza pasi yake huko sasa atarudije nyumbani? si hadi aende tena kuanza process Uhamiaji...na mimi sijui itachukua siku ngapi...mimi wakati nachukua yangu niliisubiri kwa mwezi mmoja na nusu tena hapo nikaambiwa eti imewahi sana.ha ha ha.....mkuu umenipa raha sana hapo kwenye blue......mahali uliponiacha hoi kabisa ni hapo kwenye red........hivi siku hizi Dar tunaenda na pasi ya kusafiria........chinekeeee oooooo......
ha ha ha.....mkuu umenipa raha sana hapo kwenye blue......mahali uliponiacha hoi kabisa ni hapo kwenye red........hivi siku hizi Dar tunaenda na pasi ya kusafiria........chinekeeee oooooo......
Preta, Pasi ya kusafiria kurudi nyumbani kwani nina wasiwasi kama kapoteza pasi yake huko sasa atarudije nyumbani? si hadi aende tena kuanza process Uhamiaji...na mimi sijui itachukua siku ngapi...mimi wakati nachukua yangu niliisubiri kwa mwezi mmoja na nusu tena hapo nikaambiwa eti imewahi sana.

Ntakuitia natalia sasa hivi na wewe. Sasa kama wanaishi ulaya na walishakuwa raia wa huko? Wakija huku si wanatumia.passport kubook air tickets. Huna hata boifrendi kuli wa swisport akupe hadithi mamito? Unalo hilo, hebu mfariji kakako manake mkewe kahuzunika nae kadhalika.

Haya sasa ujumbe mwingine huu hapa Preta "dad siioni tena Same, tumeshaiacha" huu ujumbe mbona mfupi namna hii?haya ndo mambo ya Dar Express. Leo naijadili kwani inanihusu.
Njia ya muongo fupi!!!ha ha ha.....mkuu umenipa raha sana hapo kwenye blue......mahali uliponiacha hoi kabisa ni hapo kwenye red........hivi siku hizi Dar tunaenda na pasi ya kusafiria........chinekeeee oooooo......
Ntakuitia natalia sasa hivi na wewe. Sasa kama wanaishi ulaya na walishakuwa raia wa huko? Wakija huku si wanatumia.passport kubook air tickets. Huna hata boifrendi kuli wa swisport akupe hadithi mamito? Unalo hilo, hebu mfariji kakako manake mkewe kahuzunika nae kadhalika.
Kuna kampuni nyingene inaitwa Hai wafanya kazi wake nao wananyodo hujapata kuona...hameni....magari yapo mengi....Unasema Metro......umeiona siku za karibuni kweli.......? kuna Kilimanjaro pia....jaribuni hiyo.....mifanyakazi ya Dar express in nyodo sana......
Mke wangu kanipigia simu yuko njiani kuelekea Dar akitokea Arusha...Kaondoka na Dar Express ya saa 4 kamili lakini anasema " Dad nimehuzunika sana kwani katika ticket wameandika saa 4 kamili, ila basi limeondoka saa tano na robo" huu ni ujumbe wa kweli na na akaendelea" Dad unajua nitafika Dar usiku, nampigia Vanessa aje kunichukua pale Ubungo. Gari lenyewe chafu, Lugha ya yule dada pale ofisini pia ilikuwa harsh imeniondolea mood". Nikampigia na kumtakia safari njema yenye uvumilivu na amani na maneno kidogo ya kimapenzi ili afarijike zaidi.... Kwa meseji hii ya leo kweli Dar Exp hawako vizuri. Ila nikalaumu rohoni kidogo...."kwanini asichague gari zuri, kwanini hakufanya online booking ya precision air ili asichoke sana...kuona tu wakwe?....atarudi lini? atakuwa salama? hajapoteza passport yake (hati ya kusafiria).........ni hii story ya usafiri kafiri na kwa kuwa imetokea kwa "my other half".
Njia ya muongo fupi!!!