Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Unaijua flyover wewe?
 
Hata yule msaliti wa nchi yetu angekuwepo nadhani angeenda. Augue pole.
Flyover za wazungu ndo unatuletea ukitaka tujivunie hizo? Nenda Belgium kamwambie awaambie wazungu wenu flyover ya tazara imezinduliwa, sgr inaendelea kujengwa, flyover ya ubungo kazi imeshaanza, stiegler's dam kazi ziko mbioni. Usaliti utawapa taabu sana.
 
Duuu, kumbe hadi uhasibu? Mi nadhani ule wizi unaosemwa ni CAG ni wizi wa ajabu sana, maana kadri walivyoiba ndio miundombinu zinakuwa bora, waongeze tu kasi ya kuiba kwa kweli
Kuna usemi unasema uongo una panda lift, ukweli una tembea kwa miguu.

Waache waendelee kutanguliza uongo ukweli uponjiani unakuja taratibu, ni swala la muda tu.

Mbele ya safari kunawatu wata badili ID humu kuficha aibuzao.
 
Mbona ni kama baadhi ya MATAGA mmeanzisha uzi na kujijibu wenyewe.
Acha ushabiki maandazi.

Inamana hujui kinacho endelea pale chang'ombe mataa kwenye makutano ya nyerere road na veta?

Ama hujui kinacho endelea maeneo ya uwanja wa taifa pale makutano ya kilwa road na mandela?? "Uhasibu"

Au najifanya hujui kinacho endelea Kilwa road kuanzia pale round about ya kuelekea Chai na mataa ya kamata, hadi mbagala, jinsi barabara ya mwendo kasi na njia nne za kawaida inavyo kimbizwa na sasa stand za mwendo kasi zinajengwa?

Ama una teseka ukiwa wapi kishumundu, au kwasadala?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…