Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

We umepita umeshinwa kupiga picha tena ukijua unakuja kuandika uzi usio na maelezo ya kutosha, tunaomba urudi ukatupigie picha vinginevyo mamoderetor waufute huu uzi hauna maana
Kwahiyo traffic kaita gari ziko kibati mi nianze kupiga picha? Seriously?
 
Uhasibu flyover under construction.

Wapingagi mtaelewa tu hata kwa viboko.
JamiiForums-652488825.jpg
 
Kwani kunyonywa mmeanza leo,,na si ni bora vitu saivi vinaonekana
huko kijijini kwenu barabara hazipitiki, unasafiri kilomita 40 kwenda hospital, kilometa 20 kwenda shule au shule za makuti
umepanga chumba kimoja buza kazi kusifia wizi na flyover za DSM
watanzania mtanyonwa hadi makalio na ccm mpaka hapo akili itakapo warudia
 
Back
Top Bottom