FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwahiyo traffic kaita gari ziko kibati mi nianze kupiga picha? Seriously?We umepita umeshinwa kupiga picha tena ukijua unakuja kuandika uzi usio na maelezo ya kutosha, tunaomba urudi ukatupigie picha vinginevyo mamoderetor waufute huu uzi hauna maana