Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Mwanamke ukiachana nae achana nae kabsa mazima, maswala ya kurudi rudi matokeo yake ndo haya.

Mimi nishakoma kuna demu Tuliachana lakini mwisho wa siku akaanza kunibembeleza ooh nimekumisi naomba tukutane jamani. Na mimi karoho kakameza mate[emoji16] nilichokutana nacho huko Logde mwanamke akaficha funguo akadai nimlipe pesa kufidia muda aliopoteza kipindi tukiwa katika mahusiano. Dah
 
Huyo ndo mwanamke akizidiwa sasa...

Mpaka kuona kafikia hatua hii ujue huyo jamaa alimfanyia vitu visivyoelezeka[emoji848]kiasi kwamba mwanaume hawezi kuvumilia!

Sasa hiyo ya kuua kikatili ni moja, kisasi kingine kibaya zaidi ya hiki huwa wanakifanya na wanaume hata hawajastukia[emoji849][emoji848] BAK unakumbuka ile mada ya visasi tuliizungumzia kwa uzi wa "I missed my wife" ni just mchana wa jana tulikuwa tukiongelea haya we ukaleta blah blah za sijui kisasi cha mwanamke ni kugongwa nje ovyo ovyo, of course atafanya hiyo, lkn bado moyo wake unakuwa haujaridhika! Mojawapo ya visasi vikubwa na vya kikatili ni kama hilo la petrol na kuna lingine tena kuubwa baba lao [emoji16][emoji16]

BAK
 
Huyu grace wa ajabu sana.. Kamwita Jamaa kwenye nyumba ya mama ake ambayo yeye Grace ana kaa na kuichoma nyumba na huyu Kijana.

Hii sio akili.. anatakua amevurugwa zaidi ya 60% .. kichaa kinapimwa kwa level ya maamuzi ya hovyo.
 
Hamna hiyoo huyo mwanamke ni mpambavuuu tuu kujikuta ana uchungu sana wa mapenzii fwakenii
 
Mwanamke akilipa kisasi dunia na watu wake huwa vinasimama kwanza kusikilizia uzito wa hilo tukio. Mwanamke majeruhi ni sawa na mbogo aliyechaji
Very true...mwanamke aliyejeruhiwa huwa anatoka kwenye uhali wa ubinadamu

But ni kiumbe mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma sana[emoji848]
 
....alichomwa visu kwanza usiku wamelala
Huyu gire noma sana wivu wa mapenzi ni mubaya Sana hasa ka ulipenda Mimi Kuna mmoja nilikuwa natamani kumwekea sumu aisee, ukiendekeza mapenzi waweza fanya jambo baya, na ukiona mtu ana kukera na macheating mna achana na kurudiana Bora kuachana mazima
 
Hakuwa Ex huyu ni hawara yake...Mario hamis alikuwa anamchuna anakula hela, pombe na K yake kwa madai atamuoa, kumbe ana mwanamke mwingine na mtoto kashawatambulisha kwao

Sasa kwa kitendo hiki tu peke yake , kama mwanamke alikuwa anakupenda kiukweli ni lazima akuondoe duniani[emoji848]

Umpotezee muda, ule k buure, akuhonge pesa ake ( hela ya mwanamke ni ya kuiacha kama ilivyo maana hustle zao Mungu wao ndo anajua) halafu Mario ukatambulishe k ingine kwenu? Haahaa haa anaona bora mkose wote!

Kwanza kamfanyia huyo mwanamke mwingine kisasi ili amkose huyo mume na kamuua kwa mtindo huu huyo mwanaume kwa kuwa hana nguvu za kupigana nae na hana option nyingine [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…