Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Mkuu rikiboy auliwaa kisa mapenzii[emoji3][emoji3][emoji3] hapana haya masiharaa kumbe beib anachukulia serious ngoja niache
We demu unamringishia una mwanamke mwengine unataka umuoe wakati amejisacrifice kwa ajili yako!
Halafu siku anakualika na ulivyo boya unaenda kabisa kulala kwake 😂😂😂
 
Kwani Mario hawana kazi?...si ni ile tabia ya kupenda ukitonga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Hela zake anajipodoa, scrubbing na viwalo
Hahahahah mambo ya “alee sherii kitonga na ngae” unachekelea vest na boxer na kupewa hela ya kodi 😂😂😂 it wiri cost you!
 
We demu unamringishia una mwanamke mwengine unataka umuoe wakati amejisacrifice kwa ajili yako!
Halafu siku anakualika na ulivyo boya unaenda kabisa kulala kwake [emoji23][emoji23][emoji23]
Kupenda K za buure[emoji16][emoji1787][emoji1787]

Kumbe unafata kiberiti haahaahaa
 
Wanatabia za ajabu sn hao watu, babu yangu alioa mchagga alikiwa anafanya kazi bank ya post kipindi huko ipo yenyewe tu nadhani, babu alichuma Mali za kutosha limama la kichaga (mkewe) alimuua kisha kutaifisha kila kitu na kukimbilia America miaka ya 90, binafsi kanda ya huko siwezi kuoa.
Sasa nani ndo aolewe na wewe[emoji706]
 
Kupenda K za buure[emoji16][emoji1787][emoji1787]

Kumbe unafata kiberiti haahaahaa
K ya mpenzi wako haina price Tag sababu after a long while anakuwa kama mke tu japo hamna legal binding!

You smash it whenever you feel like sababu mko kwenye relationship contract wala huwezi iita K ya bure.You are both enjoying the binding!

K za bure ni za mahawara zinazolokotwa njiani huko kwa offer za chips mayai!
 
Huyo ndo mwanamke akizidiwa sasa...

Mpaka kuona kafikia hatua hii ujue huyo jamaa alimfanyia vitu visivyoelezeka[emoji848]kiasi kwamba mwanaume hawezi kuvumilia!

Sasa hiyo ya kuua kikatili ni moja, kisasi kingine kibaya zaidi ya hiki huwa wanakifanya na wanaume hata hawajastukia[emoji849][emoji848] BAK unakumbuka ile mada ya visasi tuliizungumzia kwa uzi wa "I missed my wife" ni just mchana wa jana tulikuwa tukiongelea haya we ukaleta blah blah za sijui kisasi cha mwanamke ni kugongwa nje ovyo ovyo, of course atafanya hiyo, lkn bado moyo wake unakuwa haujaridhika! Mojawapo ya visasi vikubwa na vya kikatili ni kama hilo la petrol na kuna lingine tena kuubwa baba lao [emoji16][emoji16]

BAK
Hapo unakuta Mwanaume kamfanyia vituko vimefika mwisho....Na Isitoshe unaambiwa Alikuwa anaishi kwenye nyumba ya familia ya Kina Neema..

Ikumbukwe kwamba..Mwanamke kwenye kisasi Shetani mwenyewe huwa anakaa pembeni anashangaa...
 
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25).

Tukio hilo limetokea tarehe 16.07.2021 majira ya saa nane na nusu usiku huko maeneo ya Mbezi Makabe kwa Mzungu Wilaya ya Ubungo.

Mtuhumiwa Grace majira hayo ya saa nane usiku aliamka na kumfungia mlango kwa nje Khamis Abdallah kisha kumwagia mafuta ya petroli nyumba hiyo, kitendo kilichopelekea Khamisi kuungua na kufariki dunia akiwa ndani.

Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kimapenzi.

Imetolewa na :-
MULIRO J.MULIRO- ACP
KAMANDA WA POLISI,
KANDA MAALUM,
DAR ES SALAAM
Wachaga bana
 
Kibaya zaidi unakula na vitu vyake[emoji16][emoji16][emoji1787]
Hili ndilo kosa alilofanya waziri mtenguliwa wa wizara ya vinyozi Hamisi Kigwa Nyozi aka Zungu!

Ukila vya mtu uwe na uhakika hamtaachana until further notice from Sir God! Otherwise contract iwe wazi kuwa sisi tunapunguzana Fats miilini mwetu kwa mazoezi ya vikojoleo tu
 
Hapo unakuta Mwanaume kamfanyia vituko vimefika mwisho....Na Isitoshe unaambiwa Alikuwa anaishi kwenye nyumba ya familia ya Kina Neema..

Ikumbukwe kwamba..Mwanamke kwenye kisasi Shetani mwenyewe huwa anakaa pembeni anashangaa...
Yani jamaa alikuwa anapewa hifadhi na demu wake kabisa kwao?!
 
Back
Top Bottom