makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwahiyo yule fundi, nguki wa soka wa kizazi hiki tumuite kwa kiswahili lioneni rehema(lionel messi) [emoji23]Rehema ni Mercy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo yule fundi, nguki wa soka wa kizazi hiki tumuite kwa kiswahili lioneni rehema(lionel messi) [emoji23]Rehema ni Mercy
Wanaume hawafadhiliki, mwanaume hapewi hela, mwanaume anapewa k na kuombwa hela....hata uwe na milioni na ye ana elfu kumi omba hela, tena legeza jicho beba elfu kumi yote.Aiseeee... huwa watu wanawezaje kuwachukulia wenzao for granted?
Seems huyu neema alivumilia mengi sana ikajenga hasira kali ndani yake. Ila kuuana miye hataa[emoji23][emoji23] kitimoto ya white house na kwa urassa zilivyo tamu kwakweli hapana. Ila zungu was so stuppid. Hafadhiliki aisee.
Ulikoma,Mwanamke ukiachana nae achana nae kabsa mazima, maswala ya kurudi rudi matokeo yake ndo haya.
Mimi nishakoma kuna demu Tuliachana lakini mwisho wa siku akaanza kunibembeleza ooh nimekumisi naomba tukutane jamani. Na mimi karoho kakameza mate[emoji16] nilichokutana nacho huko Logde mwanamke akaficha funguo akadai nimlipe pesa kufidia muda aliopoteza kipindi tukiwa katika mahusiano. Dah
Hahahaha kwahio zile “oosh bebi!” ni utapeli tu! You guys get serious bana utelezi na mwiko zote ni win win situation😂Sisi tunajua utamu mnapata nyie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji2960][emoji2960]
Kwahiyo wafaidika ni nyie sie ni watoaji haahaahaa
There you are darling [emoji122][emoji122]Hapo unakuta Mwanaume kamfanyia vituko vimefika mwisho....Na Isitoshe unaambiwa Alikuwa anaishi kwenye nyumba ya familia ya Kina Neema..
Ikumbukwe kwamba..Mwanamke kwenye kisasi Shetani mwenyewe huwa anakaa pembeni anashangaa...
Kageuzwa soko la kariakoo[emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi Mushi ni watu wa wapi...?KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25).
Tukio hilo limetokea tarehe 16.07.2021 majira ya saa nane na nusu usiku huko maeneo ya Mbezi Makabe kwa Mzungu Wilaya ya Ubungo.
Mtuhumiwa Grace majira hayo ya saa nane usiku aliamka na kumfungia mlango kwa nje Khamis Abdallah kisha kumwagia mafuta ya petroli nyumba hiyo, kitendo kilichopelekea Khamisi kuungua na kufariki dunia akiwa ndani.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kimapenzi.
Imetolewa na :-
MULIRO J.MULIRO- ACP
KAMANDA WA POLISI,
KANDA MAALUM,
DAR ES SALAAM
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16]Hili ndilo kosa alilofanya waziri mtenguliwa wa wizara ya vinyozi Hamisi Kigwa Nyozi aka Zungu!
Ukila vya mtu uwe na uhakika hamtaachana until further notice from Sir God! Otherwise contract iwe wazi kuwa sisi tunapunguzana Fats miilini mwetu kwa mazoezi ya vikojoleo tu
Ngachoka mwili na roho [emoji119][emoji119][emoji119]Yani jamaa alikuwa anapewa hifadhi na demu wake kabisa kwao?!
Hahahaha hapa kipigo ilikuwa ni halali yake😂😂😂 navyowajua wanawake anaweza fanya yote ila sio asikie hela yake inamnufaisha mwanamke mwenzie 😂 akijua hilo hata kama alikuwa anakupenda vipi its over!There you are darling [emoji122][emoji122]
Ina maana huyo marioo alikuwa anaishi kwenye nyumba ya akina neema? Mbona hili jamaa hili ni sengee hivo yaan ni kitonga PROMAX[emoji849][emoji849][emoji134]
Halafu lilivyo lifala eti lina mwanamke mwingine na mtoto na gharama hapo ni juu ya Neema na Neema akajua![emoji849]
Huyu katafuta kifo mwenyewe
Deeboyfrexh
Kuchezea hisia za mtu huwa ni hatari Mimi simshangai neema kupenda ni kubaya Sana aisee hasa ukitendwa navunaye mpenda unaweza tenda kitu kibaya Sana, Mimi nikishaona hamna maelewano full udaganyifu kuliko nije nifanye kitu mbaya tuachane tu mazima na sirudii nyuma, ndio maana Bora kuwa na mtu wa hamu ikiisha pita na njia zako. Mimi silaumu anayeua kisa mapenzi. Love is a serious mental problemDah kama jamaa alimuahidi ndoa kisha akawa anamchuna basi amelipia utapeli wake wa mapenzi!
Mwanamke akiwa amependa seriously anaji sacrifice kwa lolote kuhakikisha furaha yako tu ila ukizingua maamuzi wanayochukuaga kila mmoja ana ya aina yake ila best yangu cariha anaweza kukunyoosha ana hasira sana [emoji23][emoji23][emoji23]! Huyo mwanamke amewekeza apate kuolewa na HB wake Hamisi Kinyozi halafu kinyozi analeta mambo ya kitoto bana!
Huwezi kumchuna mtu miaka na miaka anakupa maisha halafu kumbe humpendi mie pia nakufanya kitu mbaya aisee naweza nisikudhuru ila ntakutia hasara tu ambayo itakuuma!
kwahiyo umefurahi sisi marioo tukiuliwaHakuwa Ex huyu ni hawara yake...Mario hamis alikuwa anamchuna anakula hela, pombe na K yake kwa madai atamuoa, kumbe ana mwanamke mwingine na mtoto kashawatambulisha kwao
Sasa kwa kitendo hiki tu peke yake , kama mwanamke alikuwa anakupenda kiukweli ni lazima akuondoe duniani[emoji848]
Umpotezee muda, ule k buure, akuhonge pesa ake ( hela ya mwanamke ni ya kuiacha kama ilivyo maana hustle zao Mungu wao ndo anajua) halafu Mario ukatambulishe k ingine kwenu? Haahaa haa anaona bora mkose wote!
Kwanza kamfanyia huyo mwanamke mwingine kisasi ili amkose huyo mume na kamuua kwa mtindo huu huyo mwanaume kwa kuwa hana nguvu za kupigana nae na hana option nyingine [emoji848]
Wachaga nawaogopaga kama UKOMA!
Asee ni ukatili wa kutisha[emoji22]Then akammalizia na moto wa Petrol..
Hapo ndipo utajua Pale Bustani ya Eden shetani aliongea nini na Mwanamke...
Msengeee tena[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Zungu mwenyewe anaonekana msenge.
Ndiyo alikuwa anaishi kwa Neema nyumba ya Familia yao.. Imagine...Then anamletea mambo ya ajabu hadi kuzaa na Mwanamke mwingine..There you are darling [emoji122][emoji122]
Ina maana huyo marioo alikuwa anaishi kwenye nyumba ya akina neema? Mbona hili jamaa hili ni sengee hivo yaan ni kitonga PROMAX[emoji849][emoji849][emoji134]
Halafu lilivyo lifala eti lina mwanamke mwingine na mtoto na gharama hapo ni juu ya Neema na Neema akajua![emoji849]
Huyu katafuta kifo mwenyewe
Deeboyfrexh
hii ni tafiti au umefikiria tu, au what is maturity kwa upande wako ?Kama wote wana miaka 25 automatically mkubwa hapo ni mwanamke. Wanaume wanachelewa kumature.
Hapo unakuta Mwanaume kamfanyia vituko vimefika mwisho....Na Isitoshe unaambiwa Alikuwa anaishi kwenye nyumba ya familia ya Kina Neema..
Ikumbukwe kwamba..Mwanamke kwenye kisasi Shetani mwenyewe huwa anakaa pembeni anashangaa...
Watu waepuka kuumiza wenzi wao kihisia hadharani ni hatari hafu wanaume hufanya bila kujali, huyu neema kachoma hadharani ila believe wanaume wengi huuliwa kwa sumu taratibu ndio maana watu hushangaa nyumba nyingi zina wajane kumbe mauaji ya kimya kimyarikiboy umeona hapa?...endelea kubisha!
Yeah dear ukiendekeza mapenzi unafanya vitu vya kipuuzi na majuto badae!
Mi nachofanya huwa natulia kwa sababu naamini muda, kadri siku zinavyokwenda moyo na akili huwa vinatulia utajishangaa badae kwa maamuzi ulitaka kufanya
rikiboy