Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Aliesema love is a situation between two fools 😂 nafikiri yupo sahihi!Kuchezea hisia za mtu huwa ni hatari Mimi simshangai neema kupenda ni kubaya Sana aisee hasa ukitendwa navunaye mpenda unaweza tenda kitu kibaya Sana, Mimi nikishaona hamna maelewano full udaganyifu kuliko nije nifanye kitu mbaya tuachane tu mazima na sirudii nyuma, ndio maana Bora kuwa na mtu wa hamu ikiisha pita na njia zako. Mimi silaumu anayeua kisa mapenzi. Love is a serious mental problem