Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi hata mwanamke ukimkosea ukiona yupo kimyaa lazima upate wengeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tena wa machame aiseee inabdi uwataarifu na familia yako mapema.
Nimecheka...
Tena wenge si la kitoto.. Maana hujui anawaza nini.. Kila siku wanakuja na Visasi vipya..