Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

There you are darling [emoji122][emoji122]

Ina maana huyo marioo alikuwa anaishi kwenye nyumba ya akina neema? Mbona hili jamaa hili ni sengee hivo yaan ni kitonga PROMAX[emoji849][emoji849][emoji134]

Halafu lilivyo lifala eti lina mwanamke mwingine na mtoto na gharama hapo ni juu ya Neema na Neema akajua![emoji849]

Huyu katafuta kifo mwenyewe

Deeboyfrexh
Kamkatili sana mwenzake. Kuna other thread nimeona eti ana mke na watoto wawili. Nazidi kupagawa. Yaan uts lijely neema was mchepuko. Kwann zungu ale vya meenzie kama alikua na maisha mengine?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa sijui alivyomaliza.. Alilala moto ukamkutia usingizini.. sijui[emoji23]
Wengine wakimaliza hawawezi hata kunyanyua mkono[emoji23][emoji23][emoji23], na huenda Grace alimpa na akampa tena!

Kina Hawa ni viumbe hatari sana!
 
Hahaha asante studio. Tumekoma ndugu. Tumejifunzaa. Ila wanatoaga kwa wanaowapenda tu. Kwa wale wanaowatumia ndo huwa wanataka kuchuna tu. Dawa ni hakuna kutoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hapa nimejifunza yule aliyekuwa ananipa hela na mbususu ananipa ngoja nimuache maana hata sim feel kabisa
 
Tunaongea kama utani ila kifo cha moto ni kibaya sana. Marehemu ameteseka sana mpaka anakufa. Inatia huzuni mno. Tujifunze kuzimudu hasira zetu [emoji17]
We acha tu...ni kifo kibaya mnoo[emoji22][emoji22]

Mpaka nimeogopaa
 
Hahahaha hapa kipigo ilikuwa ni halali yake[emoji23][emoji23][emoji23] navyowajua wanawake anaweza fanya yote ila sio asikie hela yake inamnufaisha mwanamke mwenzie [emoji23] akijua hilo hata kama alikuwa anakupenda vipi its over!
Hata mimi kwakweli hapo tu ndo ubinafsi wangu ulipo. Hela yangu akanufaike mwanamke mwingine na watoto wake? Hela yangu iwe ndo fimbo ya kunichapia? Kuna wanaume wasen*e sana. Wanadanga kioumbavu. Na ubinafsi wangu utaanzia hapa
 
Zitakua ziliruka baada ya stress. Kuna mstari wa uvumilivu mwanadamu akiuvuka anakua na hulka ya mnyama, akifika hapo hajali chochote na anaweza kufanya jambo lolote pasipo kufikiria hasara
True mkuu! Hatari sana hii!
 
Kuna jamaa alimchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa.

Tukiambiwa kisasi cha mwanamke ni funga kazi tuelewe.

A sane person will commit a crime huku ana plan ya kutojulikana just like anko wa magunia mawili but this lady? She just burnt the whole house with zero fvcks on getting caught.
Her levels of anger were extremely high without thinking the consequences of her actions
 
Back
Top Bottom