Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Isome hii comment ya cariha vizuri ina madini ya kutosha, hii siri sikutaka kuisema ila huyu cariha kaitaja hapa

Wanaume wengi sana wanauliwa kwa sumu ya pole pole, kimya kimya..

Wamama wa Sinza ndo vinara wa huu mchezo[emoji22][emoji848]

Ni balaa
[emoji23][emoji23] na kinondoni.. mijimama ya town. We chepuka kimyakimya na mm nakumaliza kimya kimya
 
Hahaha asante studio. Tumekoma ndugu. Tumejifunzaa. Ila wanatoaga kwa wanaowapenda tu. Kwa wale wanaowatumia ndo huwa wanataka kuchuna tu. Dawa ni hakuna kutoa
Kweli kabisa[emoji848]

Ukiona mwanaume anakunyima hela ujue hakupendi kabisa

Chapa lapaa
 
Sasa jichanganye hata kwa mzaramo ndo utaelewa ukishakua mkavu kama kuti saa hiyo. Munapenda wanawake wanyonge muwaonee na kuwanyanyasa. Wengine makwao wamelelewa kwa upendo, confidence. Kujiamini na kujua haki zao. Akakutane na wewe kirambasi unamnyanyasa akuvumilie tu awe submissive siyo? Umpige akuangalie tu, umtukane akae kimya tu. Jichanganye ndk utaelewa
Kirambasi ni kitu gani mkuu, duh una maneno makali we mwana sio poa!
 
Duuuh shost unafichua mengi humu[emoji848][emoji848]

Usitoe siri za kambi please...utawashtua waache waendelee na ubabe, dharau zao kwa wanawake[emoji848]
Bora tuwaambie wapone bana wengi wameuliwa kimya kimya Kuna dada nilikutana naye akasema mume wake ana msumbua alimtaftia sumu Ina mkula taratibu na kalazwa muhimbili anajifia. Mapenzi ni hatari Sana mapicha yakizidi zidi heri mutengane hata kwa mda
 
Kamkatili sana mwenzake. Kuna other thread nimeona eti ana mke na watoto wawili. Nazidi kupagawa. Yaan uts lijely neema was mchepuko. Kwann zungu ale vya meenzie kama alikua na maisha mengine?
Hebu shangaa na wewe[emoji848][emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hapa nimejifunza yule aliyekuwa ananipa hela na mbususu ananipa ngoja nimuache maana hata sim feel kabisa
Kula kona fastaa
 
Kweli kabisa[emoji848]

Ukiona mwanaume anakunyima hela ujue hakupendi kabisa

Chaps lapaa
Kwa anayempenda hata siku moja halalamiki mambo ni magumu na anaoambana kweli apate ampe anayempenda ila kwkao asiyekupenda each day ni malalamiko ya shida tu ili ujiongeze umpe. Hawaimbagi mara nyingi kwakua anajua unampenda utapambana kuda umpe. Ukimpa ndo inakua fimbo ya kukuchapia kwa ampendaye. Naandaa gas mimi [emoji23][emoji23]
 
Naonaga hii content yako kwenye threads nyingi tu. Ishu ni tuogope na utuwacheee[emoji23][emoji23] ufanye yako tu na basi.
Sio kweli, utakuwa unanifananisha na Eli mwingine. Sijawahi kuogopa mtu sembuse kabila lake!!! Siwaogopi na siwaachi, nitafanya yangu na nyie[emoji23][emoji23]hapo niaje?
 
Sio kweli, utakuwa unanifananisha na Eli mwingine. Sijawahi kuogopa mtu sembuse kabila lake!!! Siwaogopi na siwaachi, nitafanya yangu na nyie[emoji23][emoji23]hapo niaje?
Atakayekupa falaa[emoji23][emoji23][emoji23] na unaogopa ndo maana unaomba muongozo. Na tukikupa tunakuulia hapohapo
 
Mko wengi sana. Wenzenu wanafanya kwa upendo nyie munawatumia. Yawezekana kns wajiona mjanja lakini usoni pa Mungu unalo la kujibu aisee. Ni mbaya sana. Halipitagi bure hilo
nimeshaacha miss pablo sirudiii tena tatizo kumwambia siku feel namuonea huruma
 
Na kuna makabila yameoa wachaga na wanaishi raha mustarehe. Chasaka mujipange. Sio wachaga wote ni wabaya, wapo wengi ni waungwana
Hao waliooa Wachaga Ni suala la muda tu, mwisho wao upo karibu.
Yaani kuishi na mwanamke mchaga roho inakua juu juu.
 
Back
Top Bottom