Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kimapenzi.

MULIRO J.MULIRO- ACP
KAMANDA WA POLISI,
KANDA MAALUM,
Taarifa za Kamanda Muliro sasa zimeenda shule.

Ameacha kutumia msemo wa kijinga wa “wivu wa mapenzi” kama chanzo cha tatizo na badala yake kaongelea “mgogoro wa kimapenzi.”
 
Watu waepuka kuumiza wenzi wao kihisia hadharani ni hatari hafu wanaume hufanya bila kujali, huyu neema kachoma hadharani ila believe wanaume wengi huuliwa kwa sumu taratibu ndio maana watu hushangaa nyumba nyingi zina wajane kumbe mauaji ya kimya kimya

Nilichokuwa namaanisha ndo hiki hapa!

Chukua hii comment ibandike ukutani mwako BAK
 
Huyu mwanaume ni mpumbavu wa mwisho sijapata ona[emoji848][emoji134]

Sasa alitegemea nini baada ya hapa? Happily Marriage na huyo mwanamke mwingine[emoji849][emoji849][emoji134]
Inauma sana. Tunakutana sana na such situations ktk maisha. Mtu anaangalia wapi atatobolea maisha. Hajali hisia za mwenzake. Watu wameyabeba maumivu sana mioyoni mwao. Neema naamini atahojiwa vyema na naamini atakua na kifungo cha muda. Nadhani akaelezea yaliyomo ndani kila mtu atashangaa ndo maana sutaki kbs mhukumu. Yaan naaminj ana ukatili ameupitia akauvumikia kwa muda sana. Sitaki kns kumwona ni mbaya ila kwa mm maamuzi ya kuuana sitaki. Kusumbuana polisi huko hapana aisee
 
Mwanamke ukiachana nae achana nae kabsa mazima, maswala ya kurudi rudi matokeo yake ndo haya.

Mimi nishakoma kuna demu Tuliachana lakini mwisho wa siku akaanza kunibembeleza ooh nimekumisi naomba tukutane jamani. Na mimi karoho kakameza mate[emoji16] nilichokutana nacho huko Logde mwanamke akaficha funguo akadai nimlipe pesa kufidia muda aliopoteza kipindi tukiwa katika mahusiano. Dah
Malizia story mkuu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hapa nimejifunza yule aliyekuwa ananipa hela na mbususu ananipa ngoja nimuache maana hata sim feel kabisa
Mko wengi sana. Wenzenu wanafanya kwa upendo nyie munawatumia. Yawezekana kns wajiona mjanja lakini usoni pa Mungu unalo la kujibu aisee. Ni mbaya sana. Halipitagi bure hilo
 
Aliesema love is a situation between two fools [emoji23] nafikiri yupo sahihi!
Isome hii comment ya cariha vizuri ina madini ya kutosha, hii siri sikutaka kuisema ila huyu cariha kaitaja hapa

Wanaume wengi sana wanauliwa kwa sumu ya pole pole, kimya kimya..

Wamama wa Sinza ndo vinara wa huu mchezo[emoji22][emoji848]

Ni balaa
 
Mwanamke ukiachana nae achana nae kabsa mazima, maswala ya kurudi rudi matokeo yake ndo haya.

Mimi nishakoma kuna demu Tuliachana lakini mwisho wa siku akaanza kunibembeleza ooh nimekumisi naomba tukutane jamani. Na mimi karoho kakameza mate[emoji16] nilichokutana nacho huko Logde mwanamke akaficha funguo akadai nimlipe pesa kufidia muda aliopoteza kipindi tukiwa katika mahusiano. Dah
Aisee pole sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliochakata vizuri.. Baadaye akapewa anachostahili..
Haahaahaa...akaagwa na utamu wa mbususu badae ikageuka kuwa Petrol[emoji22][emoji22][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo ndo mwanamke akizidiwa sasa...

Mpaka kuona kafikia hatua hii ujue huyo jamaa alimfanyia vitu visivyoelezeka[emoji848]kiasi kwamba mwanaume hawezi kuvumilia!

Sasa hiyo ya kuua kikatili ni moja, kisasi kingine kibaya zaidi ya hiki huwa wanakifanya na wanaume hata hawajastukia[emoji849][emoji848] BAK unakumbuka ile mada ya visasi tuliizungumzia kwa uzi wa "I missed my wife" ni just mchana wa jana tulikuwa tukiongelea haya we ukaleta blah blah za sijui kisasi cha mwanamke ni kugongwa nje ovyo ovyo, of course atafanya hiyo, lkn bado moyo wake unakuwa haujaridhika! Mojawapo ya visasi vikubwa na vya kikatili ni kama hilo la petrol na kuna lingine tena kuubwa baba lao [emoji16][emoji16]

BAK
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anagongwa nje na mimba juu, tena anakuoneshea kabisa kwamba hiyo mimba sio yako!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilitamani tu Tena na utoto ule ningekuwa neema Sasa hivi ila nilivokuwa nikasema kila mtu afanye atakacho no attachments at all.ukiona mkeo anakufumania ana kuvumilia be careful my friend wanawake sisi ni hatari mno
Duuuh shost unafichua mengi humu[emoji848][emoji848]

Usitoe siri za kambi please...utawashtua waache waendelee na ubabe, dharau zao kwa wanawake[emoji848]
 
Hakuna cha strong women wala nini, mtu akishakuwa insane ni uncontrollable tu haijalishi ni strong ama vipi.
Sasa jichanganye hata kwa mzaramo ndo utaelewa ukishakua mkavu kama kuti saa hiyo. Munapenda wanawake wanyonge muwaonee na kuwanyanyasa. Wengine makwao wamelelewa kwa upendo, confidence. Kujiamini na kujua haki zao. Akakutane na wewe kirambasi unamnyanyasa akuvumilie tu awe submissive siyo? Umpige akuangalie tu, umtukane akae kimya tu. Jichanganye ndk utaelewa
 
Back
Top Bottom