Morning Joy Motors Member Joined Jan 20, 2026 Posts 84 Reaction score 137 Feb 8, 2026 #21 Inategea na ; 1. Aina ya Gari 2. Uzoefu wako kwenye hiyo njia husika.
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,663 Reaction score 9,335 Feb 9, 2026 #22 Kwa IST Endelea kutumia bus tu.