Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Sio anga pekee, Huko mbeleni huenda CHADEMA wakazuiliwa hata kutumia barabara kwa visingizio vya kipuuzi kama hivi.

Madhara ya chama dola haya, yaani unakuwa mgombea huku pia ndio Rais wa Nchi. Wapinzani wasitegemee kuwa na equal ground kwenye chaguzi hizi
 
Kama ni kweli basi shkuruni mumepona aibu ya mwaka.
 
Hiki chama cha mende(ccm) kinatuletea sana usumbufu usio wa kazima
 
Magu licha ya roho mbaya pia ni muoga kupindukia. Jaribio la kumuua Lissu lililoshindwa linamkosesha amani
 
Hahahaaaa endeleeni kumpiga chura teke kudadekiii zenu..
Manazidi kujikazia kitanzi tu.
 
Ebu tupe kipimo cha kutambua sababu zisizoeleweka.

Yaani mnazusha kila kitu. Kwamba Hizo sababu zimetolewa kwa lugha ya 'Ki-tamil' ? lugha itumikayo huko Tamil Nadu na mmekosa mkarimani? Mbona huwa mko wepesi kutoa barua na picha kuonyesha kuonewa kwenu. Inakuwaje sasa hamtoi huo ushahidi?

Msizushe, semeni ukweli hasa kuhusu sababu.
 
CCM ni chama cha kigaidi n hii ni Serikali ya kishetani
 
Aisee huyu jamaa kwa kweli mwoga sijui kama kuna nchi ina mtu wa hivi ....

Hivi hawa viongozi wa dini wanaomshabikia huyu jamaa..... do they really know what's in store for them 2-3 years down the line kweli? au wamepofushwa na njaa zao??
 
Yani Tz bwana, chama tangu uhuru bado kipo tu hadi kimewachoka wananchi wake hadi kupelekea kutowaongeza mishahara watumishi wa umma miaka 5 sasa.
 
Hata hivyo zuio lao la kishamba halitadumu , hii nchi tunaweza kugawana mbao hata kabla ya octoba 28
Keyboard tu mmesindwa kugawana, itakuwa nchi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duu! Sitashangaa kwa hayo matendo watu wapo tayari serikali ikose mapato lakini mtu flani afanyiwe hujuma! Hakika tuendako hakuna njia!
 
Akili ya kijima kwelikweli.
 
Uoga wa nini si wanapendwa waachie hawa wasiopendwa watafute soko. Yaani ccm ndiyo maana wanatakiwa kupisha
 
Watumie barabara, kwa kuwa ni Nzuri na zinapitika, hamna haja ya kelele za ma helcopter.
Mwishoe limdondoshe waanze kisingizio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…