Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Wewe muamini mumeo tu,yatosha.
Cdm sio wa kuwaamini, inaweza kua ni kiki. Tunasubiri taarifa ya serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cdm sio wa kuwaamini, inaweza kua ni kiki. Tunasubiri taarifa ya serikali.
Kwani wewe unazo?Mpuuzi wewe huna akili...
Mmeshaanza kutafuta vijisababu.
Tatizo liko wapi wewe kibwengo?Mtu mzima wa enzi ya Wamba dia Wamba lakini hovyoooo...
Ebu tupe kipimo cha kutambua sababu zisizoeleweka.Ofisa wa Mamlaka ya Anga aliyewasilisha taarifa hiyo wakati msafara wa Mhe. Lissu umeshatoka nje ya jengo la abiria, ametoa sababu zisizoeleweka kuzuia helkopta hiyo kuruka kutoka Uwanja wa JNIA kuelekea Bagamoyo, Chalinze, Mlandizi na Kibaha, wakati kibali chake kiliombwa tangu jana.
Kwahiyo hawakuzuiwa? Sometimes msiwe wapuuzi kupita kiasi
Keyboard tu mmesindwa kugawana, itakuwa nchi. 😂😂😂😂😂😂😂Hata hivyo zuio lao la kishamba halitadumu , hii nchi tunaweza kugawana mbao hata kabla ya octoba 28
Akili ya kijima kwelikweli.Wazee wa Bagamoyo hao, hawataki Ujinga, ilikuwa hivyohivyo hata Kwa Lowasa, dege lilishindwa kutua, akapitiliza Dar!!
Chezea Bwagamoyo,
Bagamoyo inahitaji ustarabu buana, sio kejeli zenu aisee, Mnaboa Sana niniyi watu, mnalopoka utadhani hamna wazazi, mnatukana tu, sasa Hilo dege msithubutu kulitumia Bagamoyo, halipaa, nahata likipaa itakuwa kama Kwa Lowasa, halitatua, chezea sehemu nyingine sio Bagamoyo ambako Ile rangi ya bendera ya CCM ni pendekezo la wazee wa Bagamoyo wakiwa na Mwl,
Mwl alichoshauri ni zile alama tu za jembe na nyundo, uloangalia Kwa kina na ukatumia akili kubwa Sana kucheki hizo alama utajifunza mambo mengi Sana na ya kusisimua
Na pia hiyo rangi ya Bendera ukitumua akili kubwa na ya ziada utajifunza mambo ya kusisimua