Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Chadema wanakosa logistics experts, very pathetic, hivi wanafikiri safety inspections ya helicopter ni sawa sawa na pikipiki ya bodaboda?Chopper bovu wanataka kutuletea msiba bure waseme amedunguliwa wapuuzi sana hawa
Halafu walishasema kwamba CCM Wana mpango wa kufungua nati kwenye hiyo helikopta, wanataka kuleta fujo tuu kwa kuwa walishajua ni bovu.Chopper bovu wanataka kutuletea msiba bure waseme amedunguliwa wapuuzi sana hawa
Masizia maisha yamewachapaKwani wewe unazo?
Mkuu,huwezi kuzuia msukule kuwa msukule mpaka ajijue kuwa yeye ni sukule na awe tayari kurudishiwa utimamu wake wa akili.Kwahiyo hawakuzuiwa? Sometimes msiwe wapuuzi kupita kiasi
Hai ni chadema ndo wanalialia baada ya kuona hawana mwelekeo. Kwani Salum Mwalimu yuko wapi angeenda hata yeye kuokoa jahazi.Juzi alisema kuna hujuma ya kuharibu ndg ili apate ajali,leo kazuiliwa ili aepushwe na hujuma hizo,analialia.
Najiuliza,Ni lini ataacha kulialia huyu msingida.
Asimame km shujaa wa chama?
Sio mbaya Mungu atakuwa pamoja na TUNDU LISSU MILELE..labda wangeitungua ikiwa angani.Nimegundua sasa kwanini moyo wangu ulikuwa mzito tangu asubuhi kuhusiana na huu usafiri..nilikuwa nimeshanusa hujuma japo sikujua ni hujuma gani
kumbe umeona hilo mkuu, kituko kingine eti..."wametoa sababu zisizoeleweka" idara ya habari ya chadema ni genge tu la wajinga!Huyo afisa aliyezuia hana jina?
Uchokozi na uonevu uliovuka mpaka. Freedom is coming tomorrow!MaCCM yamezidi kuwa maoga sana hadi inatia kinyaa
Wenye mapenzi na nchi wataulinda.Umoja watu kupitia uchaguzi huu tunauzika rasmi inaniuma sana
No easy way to freedom. Aendelee kupambana. Yote yamepangwa na Mungu. Freedom is coming tomorrow.Sio mbaya Mungu atakuwa pamoja na TUNDU LISSU MILELE..labda wangeitungua ikiwa angani.