Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Laaa kweli kikwete ni mtu wa maana sana hakuwahi kumzuia Dr slaa alijua akishinda tanzania imeshiinda lakini na hisi wakati huu katiyahawa wagombea kunammoja atakuwa si mtanzania
 
CCM Mpya = Woga2 + Hofu2 bado imebaki TANROAD ya Mfungale nao watatoa angalizo la matumizi ya Barabara kwa wapinzani!

Wamezuia matumizi ya anga TCAA , wamezuia kurusha live matangazo mpaka taarifa itolewe TCRA, NEC TUME , OFISI ZA DED , OFISI ZA MA-DC kote wametapakaa makada wateule toka CCM Mpya bado hawajiamini hawa watu wa mtaa wa Lumumba.
 
Msema kweli ni mpnz wa Mungu nataka nikifika mbinguni nipewe jukumu la kusimamia 'maraika',Mniombeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Chopper bovu wanataka kutuletea msiba bure waseme amedunguliwa wapuuzi sana hawa
Hivi Chadema wanakosa logistics experts, very pathetic, hivi wanafikiri safety inspections ya helicopter ni sawa sawa na pikipiki ya bodaboda?
 
Kwani wewe unazo?
Kaa na wajinga wezako hawa si unaona mlivyoView attachment 1565258
IMG_20200910_154938.jpeg
 
Chopper bovu wanataka kutuletea msiba bure waseme amedunguliwa wapuuzi sana hawa
Halafu walishasema kwamba CCM Wana mpango wa kufungua nati kwenye hiyo helikopta, wanataka kuleta fujo tuu kwa kuwa walishajua ni bovu.
 
Kwahiyo hawakuzuiwa? Sometimes msiwe wapuuzi kupita kiasi
Mkuu,huwezi kuzuia msukule kuwa msukule mpaka ajijue kuwa yeye ni sukule na awe tayari kurudishiwa utimamu wake wa akili.
Huyo ni certified sukule.
 
Juzi alisema kuna hujuma ya kuharibu ndg ili apate ajali,leo kazuiliwa ili aepushwe na hujuma hizo,analialia.
Najiuliza,Ni lini ataacha kulialia huyu msingida.
Asimame km shujaa wa chama?
Hai ni chadema ndo wanalialia baada ya kuona hawana mwelekeo. Kwani Salum Mwalimu yuko wapi angeenda hata yeye kuokoa jahazi.
 
Nimegundua sasa kwanini moyo wangu ulikuwa mzito tangu asubuhi kuhusiana na huu usafiri..nilikuwa nimeshanusa hujuma japo sikujua ni hujuma gani
Sio mbaya Mungu atakuwa pamoja na TUNDU LISSU MILELE..labda wangeitungua ikiwa angani.
 
Wanacho fanya ni kuzidi kuongeza hamu ya wananchi kutaka kuwasikia CHADEMA! Wapiga debe wa CHADEMA ni watendaji wa serikali.
 
Back
Top Bottom