Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoga upikwa uoga huu wewe utakuwa hadi unatiwa vidole vya macho na mkewe.
Sababu ya kuzuia Ni ipiMmeshaanza kutafuta vijisababu.
mataga mmezidi kuwa waoga sana kuliko hata wa kike.Uoga upi
Ndio kakutuma Kenyatta au
Ile ndege yaliyotumia Mwanzo alipewa ruhusa na Kenya nadhani. Kama sio Somaliland.Kwahiyo hawakuzuiwa? Sometimes msiwe wapuuzi kupita kiasi
Magufuli ni kiongozi muoga kuliko wote Africa na akishindwa atakimbia nchi
Walioweka zuio ndio watoe sababuIle ndege yaliyotumia Mwanzo alipewa ruhusa na Kenya nadhani. Kama sio Somaliland.
Weka barua ya zuio huwezi kuzuiwa vebrally tu, ili Serkali tuisute
Wanaenda kupanda hell copta airport tena terminal 3? WaongoMbona sababu za kuzuiliwa Hiyo helikopta Hawakuweka?
Chadema waongo helikopta hata Gwajima anayo yaweza kukufuata ulipo kukubeba huhitaji kwenda airport sababu ile sio ndege kuwa kuruka na kutua ni airport!
Diamond mbona huenda maonyesho kibao na helikopta na huwa hapandii airport?
Chadema acheni usanii sisi ndege tunapanda sana Kwa hilo la helikopta ni fix waongo nyie
Waliomba kwa barua , wanazuiwa kwa baruaWalioweka zuio ndio watoe sababu
Aibu kubwa itawapata hiyo Oct 28.By the way, wamepunguziwa gharama za kuchangachanga huko mikutanoni.Imesaidia kupunguza aibu kwani hakukuwa na watu kabisa Bagamoyo.Ilikuwa iwe aibu ya mwaka
Hawakupata watu bagamoyo. Msilete visingizio. Hujuma gani wanaweza kufanyiwa? Amekimbia tu aibu ya kuhutubia uwanja mtupu.Nimegundua sasa kwanini moyo wangu ulikuwa mzito tangu asubuhi kuhusiana na huu usafiri..nilikuwa nimeshanusa hujuma japo sikujua ni hujuma gani
Wapiga kura wako barabarani, yeye anapaaa, hataki tumpungie mkono? Awe siliazi kidogo lissuCHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Ratiba ya mikutano 5 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, iliyopangwa kufanyika leo mkoani Pwani, imevurugika baada ya helkopta aliyokuwa aitumie kufika katika maeneo hayo, kuzuiliwa kwa kunyimwa kibali na Mamlaka ya Anga nchini, muda mfupi kabla ya kuruka.
Taarifa za kukataliwa kwa helkopta hiyo kuruka zilitolewa kwa Ofisa Mnadhimu wa Kampeni, Amani Golugwa, wakati msafara wa Mhe. Lissu ukielekea kupanda ndege baada ya kumaliza taratibu zote za ukaguzi wa kiusalama Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) terminal I.
Ofisa wa Mamlaka ya Anga aliyewasilisha taarifa hiyo wakati msafara wa Mhe. Lissu umeshatoka nje ya jengo la abiria, ametoa sababu zisizoeleweka kuzuia helkopta hiyo kuruka kutoka Uwanja wa JNIA kuelekea Bagamoyo, Chalinze, Mlandizi na Kibaha, wakati kibali chake kiliombwa tangu jana.
Kutokana na hatua hiyo, Chadema imelazimika kutafuta njia mbadala ili Mgombea Urais Mhe. Lissu na msafara wake, aweze kuendelea na ratiba ya mikutano kwa kadri inavyowezekana. Mbali ya Mhe. Lissu, abiria wengine waliokuwa watumie usafiri huo ni watu 3, akiwemo Ofisa Mnadhimu wa Msafara Amani Golugwa, Katibu wa Mgombea, David Jumbe, msaidizi wa masuala ya ulinzi pamoja na rubani wa ndege hiyo.
Imetolewa leo, Alhamis, Septemba 10, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Definitely haikufanyika kienyejiWaliomba kwa barua , wanazuiwa kwa barua
Au waliomba kwa mdomo na kuzuiwa kwa mdomo. Ki ofisi haipo
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Ratiba ya mikutano 5 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, iliyopangwa kufanyika leo mkoani Pwani, imevurugika baada ya helkopta aliyokuwa aitumie kufika katika maeneo hayo, kuzuiliwa kwa kunyimwa kibali na Mamlaka ya Anga nchini, muda mfupi kabla ya kuruka.
Taarifa za kukataliwa kwa helkopta hiyo kuruka zilitolewa kwa Ofisa Mnadhimu wa Kampeni, Amani Golugwa, wakati msafara wa Mhe. Lissu ukielekea kupanda ndege baada ya kumaliza taratibu zote za ukaguzi wa kiusalama Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) terminal I.
Ofisa wa Mamlaka ya Anga aliyewasilisha taarifa hiyo wakati msafara wa Mhe. Lissu umeshatoka nje ya jengo la abiria, ametoa sababu zisizoeleweka kuzuia helkopta hiyo kuruka kutoka Uwanja wa JNIA kuelekea Bagamoyo, Chalinze, Mlandizi na Kibaha, wakati kibali chake kiliombwa tangu jana.
Kutokana na hatua hiyo, Chadema imelazimika kutafuta njia mbadala ili Mgombea Urais Mhe. Lissu na msafara wake, aweze kuendelea na ratiba ya mikutano kwa kadri inavyowezekana. Mbali ya Mhe. Lissu, abiria wengine waliokuwa watumie usafiri huo ni watu 3, akiwemo Ofisa Mnadhimu wa Msafara Amani Golugwa, Katibu wa Mgombea, David Jumbe, msaidizi wa masuala ya ulinzi pamoja na rubani wa ndege hiyo.
Imetolewa leo, Alhamis, Septemba 10, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Apo moyoni umeridhika kabisa na ulicho andika mawazo yako ndio urithi wa mwanao atapata taabu sanaaMmeshaanza kutafuta vijisababu.
Kwahiyo 2015 lowassa alishinda?Hawakupata watu bagamoyo. Msilete visingizio. Hujuma gani wanaweza kufanyiwa? Amekimbia tu aibu ya kuhutubia uwanja mtupu.
2015 Lowassa alishindwa kufika Tunduma lakini kwenye Mkutano watu walikua wamejaa toka saa 1 asubuhi wanamsubiria. Nanyinyi tuonesheni watu waliokua wanamsubiria Tundu Lissu ili tujue kweli kuna hujuma zimefanywa.
Wapuuzi ni nyinyi.. si wangeonyesha hiyo taarifa ya kuzuiwa tuone.Kwahiyo hawakuzuiwa? Sometimes msiwe wapuuzi kupita kiasi