Kwa jinsi wahehe walivyo ubinafsi hapo sioni kitu cha wao kujisifu. ingekuwa ni wanyakyusa ningekuunga mkono ila sio wahehe
hii tabia ya makabila ya nyanda za juu kusini kufosi undugu na wakinga inashangaza sana siku hizi ππ ama kweli pesa itafutwe, enzi hizo yani mkinga alikuwa hana mtani kabisa ila leo sasa yani anagombaniwa