Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Wakuu tutafute hela,, iwe kwa jasho au kwa damu.... 😐😐😐Kwa jinsi wahehe walivyo ubinafsi hapo sioni kitu cha wao kujisifu. ingekuwa ni wanyakyusa ningekuunga mkono ila sio wahehe
hii tabia ya makabila ya nyanda za juu kusini kufosi undugu na wakinga inashangaza sana siku hizi 😂😂 ama kweli pesa itafutwe, enzi hizo yani mkinga alikuwa hana mtani kabisa ila leo sasa yani anagombaniwa