Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe ni takataka tu, your days are numbered, damu ya Ben Saanane inakulikia na utakufa kifo kibaya sana.Nje ya siasa nilazima kila Raia wa Taifa hili ajuwe yeye na kizazi chake crime is dangerous and it can end you are life.
Nimeweka hii video kuonyesha vile huko Kenya watu walikuwa wana uwawa live kwa uhalifu.
Hatuwezi kuruhusu Taifa hili kuwa lamajangili ni hatari kwa uwepo wetu. Uhalifu wa aina yeyote hauwezi vumiliwa. Yaani kama mnafikiri huyu mama mtamgeuza kama chapati basi msije jishangaa mkageuzwa kama chapati.
Ccm mpo nyuma ya kila utekaji katika nchi hii. Mnawatia tu laana watoto wa watu ya damu za watu kwa faida zetu. Alafu unajifanya wake za watu dhuruma uwe na aibu. Chutama turelax gentleman plz plz,
ni muhimu ukaelekeza uerevu wako kwenye hoja mahususi mezani. It is very simple..
mihemko na makasiriko ni useless na completely nonsense 🐒
mkorofi, mbabe, mjeuri, dhulumati mwenye madharau huyo kila moja anamjua ukanda huo ndiyo maana hakuna aliethubutu kutoa msaada wowote kwake licha ya mayowe mengi sana aliyokua akipiga huyo muungwana mwanaume..Wewe ni mbwa kabisa, huyo Deo ambaye ni victim anaishi Kibaha, na tukio limetokea Kiluvya.
Kama ccm kungekuwa na mtu mwenye akili hata chembe ungehoji walinzi wa hotel wako wapi na ungehoji cctv camera zioneshe tukio kuanzia mwanzo.
Nasisitiza kuishi na watu vizuri.Ccm mpo nyuma ya kila utekaji katika nchi hii. Mnawatia tu laana watoto wa watu ya damu za watu kwa faida zetu. Alafu unajifanya wake za watu dhuruma uwe na aibu. Chutama tu
Situmii twitter, lete screenshot.
Mpk ss nashangaa 🤷Nmeshangaa sana, watu wapo tuu wanashangaa nao
Huyo jamaa atakuwa mwenzao huyoNime prove kweli Watanzania ni nyumbu yaani hataki hata kuangalia au alikuwa ni mwenzao.
View attachment 3150769
Duh ila kwelihata hapa watu wanaruhusiwa kumiliki kwa kufuata sheria, milikini silaha msitekwe ovyo. imagine, wazazi wa ben saanane, azori gwanda, wangekuwa na silaha siku ile azori anabebwa mbele ya mke wake, si angekuwa amepona.
ZishajulikanaIdentity ya Mtekwaji bado haijafahamika?
Watafanyaje na wao ni wepesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa jamaa wameshindwa kumuingiza kwenye gari [emoji1] sijui wana enda kusema nini kwa walio watuma
Unaonaje kuwa na hiyo profile?Inasikitisha sana, nilikua nawadharau watu wanene ila kuanzia Sasa nitawaheshimu, huyo jamaa unene umemsaidia sana, angekuwa mwembamba ka Mimi wangemnyakua kama karatasi tu
Jamaa sura zao zimeonekana lakini naamini bado watawekwa kwenye kundi la wale wasiojulikana. Bongo nyoso!Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Hii hotel haikuwa na ulinzi wala wateja wengin?!!Wakuu,