johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pambalu aingia Gym πππJo katika picha mjongeo nimekuona.
Naona haja ya kutembea na king'ora mfukoniKufa kufaana Kitendo cha Deo Tarimo wa Kiluvya kushindikana kutekwa kumefanya Watu wengi kujisalimisha Gym Ili kujenga misuli ya miili yao
Kila gym kuna Ujumbe " Pambana kabla Hujapambaniwa" sijui hata wamekubaliana saa ngapi πΌ
Wanaweza kukukata mguu π‘οΈπ¦΅Nunueni loki za baiskeli, wakija kukukamata unajifunga mguu wako mmoja kwenye meza, mti, kiti, chuma, popote pale ulipo, halafu unapiga kelele za kuomba msaada
Wanaweza kukukata mguu π‘οΈπ¦΅
Kuna ujasusi wa kidola na kitaifa!!Kwani wangejitambulisha na kumuarrest kungekuwa na ubaya?
Hiyo system imeshindwa kuzuia upotevu wa pesa majizi yanajichotea vitita na kuficha kwenye benki za ughaibuni.
Mimi siungi mkono anarchy ila tunapoenda nitaona sawa mtu kutumia haki yake ya kujilinda kama hivyo au kwa namna yoyote ikiwemo hata kuwadhuru au kuwaua hao polisi wanaoteka watu.
Hapa ndipo nnapokumbuka miaka ya nyuma niliwahi kukaa mkoa wa mara sehemu moja nyamongo ndani ndani huko maaskari walikuja kumkamata mwamba asee huwezi amini ndani ya dk kadhaa mwambia alijeruhi askari wawili kwa mawe tu afu katimua mbio tatizo wanaume wa daslamu hata kurusha mawe hawawezihuyu kilicho muokoa ni unene tu, baba lizima linalia lia hovyo badala ya kupambana.
Ben Mwana wa Saanane alifanya kosa gani?Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.
Nje ya siasa uhalifu dhidi ya Taifa lako ni jambo la hatari kwa maisha yako. Mama mkanye mwanao mama mkanye mwanao.
Kumbe ndio maana mlisupplement act yenu ya 1996 mwaka jana.Kuna ujasusi wa kidola na kitaifa!!
Huo wa kidolahaufuati taratibu za kisheria!
Huyo mtu kumbe ni jambazi Sugu okay mbona hakuuwawa on the spot?Mfano majambazi sugu Kwa kupitia wapelelezi kuwakamata au kuwaua hakufuati utaratibu wa kisheria!!
Hayo malengo mbona hawawi mstari wa mbele kwenye ufisadi?Haya yanatokea Kwa malengo maalum!tuombe mungu tufuate sheria!!
Oh, kuna legal procedures zifuatwe.Huwezi kamatwa tu from nowhere lazima una Cha kujibu!
Ingekua alphahad, Noah ingekua rahisi kumsukumiza ndani amesaidiwa na MWILI JUMBA wake bila ivyo ingebakia story.Sasa jamaa wameshindwa kumuingiza kwenye gari π sijui wana enda kusema nini kwa walio watuma
Tanzania siyo nchi ya amani Tangu kuanza kwa vyama vingi nchi yetu imekuwa haina amani kabisa inafika hatuwa watu wanatekwa na kwenda kuuliwa utafikiri nchi haina Serikali bora ukaishi na wanyama wakali kuliko kuishi na binadamu hawana huruma hata kidogo.Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangΓ a kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
MkuuKumbe ndio maana mlisupplement act yenu ya 1996 mwaka jana.
Huku mkijiongezea.
Immunity ya kuwa anonymous na kutokuwa prosecuted.
Mkajiongezea na mamlaka ya kufanya arrest .
Hivyo saa hizi ikiwa ni maandalizi ya 2025 mnaweza kufanya lolote na ikawa walk in the park.
Huyo mtu kumbe ni jambazi Sugu okay mbona hakuuwawa on the spot?
Hivi jambazi sugu anaweza kujiexpose mchana hovyo kwenye bar/lounge kizembe hivyo?
Hayo malengo mbona hawawi mstari wa mbele kwenye ufisadi?
Unajua viongozi wako wangapi wameficha pesa za walipa kodi ughaibuni?
Oh, kuna legal procedures zifuatwe.
Otherwise that is anarchy.
Kwa statement hii basi tunaongea lugha moja.Mkuu
Reform ya mfumo ndio inapaswa kufanyika ,Kuna mambo mengi mabaya yanafanyika Kwa baraka za wenye nchi!
Ni jukum la dola kuhakikisha nchi inakua huru kutoka kwenye makucha ya Cartels!
Kwa sasa suala la wasiojulikana limekuwa la kawaida hata lile la uchunguzi unaendelea limekuwa nalo la kawaida. Ila matokeo yake si ya kawaida.Jamaa sura zao zimeonekana lakini naamini bado watawekwa kwenye kundi la wale wasiojulikana. Bongo nyoso!
kabisa katusadia sanaIla angalau aliyepiga picha na video katusaidia kuwajua..Tunasubiri ufanafanuzi wa jeshi la polisi
Movies ya ccmhiyo ni kumaanisha nini sasa gentleman? Kwani huo ni utekaji au action movies π
ile ya eti mteka mtu mzima anaepiga mayowe ya kuomba msaada huku anaerekodi video na mashuhuda wengine wakikodoa macho na kushuhudia action movie hiyo kwa umakini mkubwa πMovies ya ccm
Hauna lolote muuwaji tu wewe.Wewe ndio una matatizo mkuu!!
Kupotea kwa watu kupo duniani kote SEMA ni vile hairipotiwi kama huku Africa na vyombo vyetu!
Wauza madawa na watakatisha fedha na wahujumu uchumi ni lazima kabisa kupotezwa !!
Sasa kama wewe ni muuza mitumba au muajiriwa unapotea kiss nini!!?
Nadhani tuendelee kuwajibika kisheria Kwa taifa tuache drama za uvunjifu amani na tutakua salama!!