Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Kwani wangejitambulisha na kumuarrest kungekuwa na ubaya?

Hiyo system imeshindwa kuzuia upotevu wa pesa majizi yanajichotea vitita na kuficha kwenye benki za ughaibuni.

Mimi siungi mkono anarchy ila tunapoenda nitaona sawa mtu kutumia haki yake ya kujilinda kama hivyo au kwa namna yoyote ikiwemo hata kuwadhuru au kuwaua hao polisi wanaoteka watu.
Kuna ujasusi wa kidola na kitaifa!!

Huo wa kidolahaufuati taratibu za kisheria!

Mfano majambazi sugu Kwa kupitia wapelelezi kuwakamata au kuwaua hakufuati utaratibu wa kisheria!!

Haya yanatokea Kwa malengo maalum!tuombe mungu tufuate sheria!!

Huwezi kamatwa tu from nowhere lazima una Cha kujibu!
 
huyu kilicho muokoa ni unene tu, baba lizima linalia lia hovyo badala ya kupambana.
Hapa ndipo nnapokumbuka miaka ya nyuma niliwahi kukaa mkoa wa mara sehemu moja nyamongo ndani ndani huko maaskari walikuja kumkamata mwamba asee huwezi amini ndani ya dk kadhaa mwambia alijeruhi askari wawili kwa mawe tu afu katimua mbio tatizo wanaume wa daslamu hata kurusha mawe hawawezi
 
Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.
Nje ya siasa uhalifu dhidi ya Taifa lako ni jambo la hatari kwa maisha yako. Mama mkanye mwanao mama mkanye mwanao.
Ben Mwana wa Saanane alifanya kosa gani?
 
Kuna ujasusi wa kidola na kitaifa!!

Huo wa kidolahaufuati taratibu za kisheria!
Kumbe ndio maana mlisupplement act yenu ya 1996 mwaka jana.

Huku mkijiongezea.

Immunity ya kuwa anonymous na kutokuwa prosecuted.

Mkajiongezea na mamlaka ya kufanya arrest .

Hivyo saa hizi ikiwa ni maandalizi ya 2025 mnaweza kufanya lolote na ikawa walk in the park.
Mfano majambazi sugu Kwa kupitia wapelelezi kuwakamata au kuwaua hakufuati utaratibu wa kisheria!!
Huyo mtu kumbe ni jambazi Sugu okay mbona hakuuwawa on the spot?

Hivi jambazi sugu anaweza kujiexpose mchana hovyo kwenye bar/lounge kizembe hivyo?
Haya yanatokea Kwa malengo maalum!tuombe mungu tufuate sheria!!
Hayo malengo mbona hawawi mstari wa mbele kwenye ufisadi?

Unajua viongozi wako wangapi wameficha pesa za walipa kodi ughaibuni?
Huwezi kamatwa tu from nowhere lazima una Cha kujibu!
Oh, kuna legal procedures zifuatwe.

Otherwise that is anarchy.
 
Wakuu,​

Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.

=====

Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;

"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.

Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."

Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Tanzania siyo nchi ya amani Tangu kuanza kwa vyama vingi nchi yetu imekuwa haina amani kabisa inafika hatuwa watu wanatekwa na kwenda kuuliwa utafikiri nchi haina Serikali bora ukaishi na wanyama wakali kuliko kuishi na binadamu hawana huruma hata kidogo.
 
Kumbe ndio maana mlisupplement act yenu ya 1996 mwaka jana.

Huku mkijiongezea.

Immunity ya kuwa anonymous na kutokuwa prosecuted.

Mkajiongezea na mamlaka ya kufanya arrest .

Hivyo saa hizi ikiwa ni maandalizi ya 2025 mnaweza kufanya lolote na ikawa walk in the park.

Huyo mtu kumbe ni jambazi Sugu okay mbona hakuuwawa on the spot?

Hivi jambazi sugu anaweza kujiexpose mchana hovyo kwenye bar/lounge kizembe hivyo?

Hayo malengo mbona hawawi mstari wa mbele kwenye ufisadi?

Unajua viongozi wako wangapi wameficha pesa za walipa kodi ughaibuni?

Oh, kuna legal procedures zifuatwe.

Otherwise that is anarchy.
Mkuu

Reform ya mfumo ndio inapaswa kufanyika ,Kuna mambo mengi mabaya yanafanyika Kwa baraka za wenye nchi!

Ni jukum la dola kuhakikisha nchi inakua huru kutoka kwenye makucha ya Cartels!
 
Mkuu

Reform ya mfumo ndio inapaswa kufanyika ,Kuna mambo mengi mabaya yanafanyika Kwa baraka za wenye nchi!

Ni jukum la dola kuhakikisha nchi inakua huru kutoka kwenye makucha ya Cartels!
Kwa statement hii basi tunaongea lugha moja.

Siungi mkono anarchy.

Ila itakapobidi sana nitaona iwe hivyo pengine ndio itakuwa njia ya kufungua kurasa mpya.
 
Wewe ndio una matatizo mkuu!!

Kupotea kwa watu kupo duniani kote SEMA ni vile hairipotiwi kama huku Africa na vyombo vyetu!

Wauza madawa na watakatisha fedha na wahujumu uchumi ni lazima kabisa kupotezwa !!

Sasa kama wewe ni muuza mitumba au muajiriwa unapotea kiss nini!!?
Nadhani tuendelee kuwajibika kisheria Kwa taifa tuache drama za uvunjifu amani na tutakua salama!!
Hauna lolote muuwaji tu wewe.
 
Back
Top Bottom