Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

ile ya eti mteka mtu mzima anaepiga mayowe ya kuomba msaada huku anaerekodi video na mashuhuda wengine wakikodoa macho na kushuhudia action movie hiyo kwa umakini mkubwa πŸ’
Movie eeh au siyo vipi Ile ya Zakaria Tarime ilikuwa Bonge moja la movie. Mnarudi lini kwa jamaa kumalizia movie?
 
Hawa jamaa ipo siku watakufa wamebong'oka wataingia kwenye 18 moja miili ya itakuwa sehemu ya kunolea panga muraa
 
hebu share kipande cha video kwa faida ya wadau gentleman πŸ’
Kakifate kwa Zakaria si yupo au aliondoka nacho jamaa kutibiwa south Africa. Na alipopiga nduru mkakimbilia sheli kwake huku mkisema sisi ni maafisa wa usalama wa serikali na mzee Zakaria akaanza kutuliza wakurya pale msitembezewe panga. Mkawa mnatamani msaada uje chapu. Na kukosa Zakaria mwenyewe kutuliza watu mlikuwa mnachezea panga vizuri sana mura
 
 

Attachments

  • IMG-20241113-WA0005.jpg
    128.1 KB · Views: 2
Mbona kama picha mbili hazina watu wanaofanana?
 
kwahiyo umeamua kusimulia wadau watakuelewa kweli gentleman πŸ’
 
Siku nikikuta mtu anakamatwa kwa nguvu, kama kuna gari nitahakikisha nawaponda mawe ya kutosha na vioo nashusha vyote, hiyo siku nitakufa mimi au mtekaji au wote kwa pamoja.

Na wakifanikiwa kukimbia nikawafahamu, familia zao zitateseka sana.

Si tunaishi nao mitaani?

Nitakua nimekufa kishujaa. Nimejiskia vibaya sana.
 
Tofautisha, chama, serikali na wahuni?.
P
Unaanza na wahuni, unakuja na chama na baadae chama chaunda serikali...

Magenge yaliyoko mexico na nchi nyingine yalianza hivihivi na wahuni. Logically huwezi niambia kuna wahuni polisi au serikali isiowajua, sawa itawezekana swali litakuja je usalama kazi yao nini hizi vuguvugu za wahuni hawazijui na hawapati fununu zozote..

Ni rahisi kumdanganya mzee kwa trick zakitoto, huku mzee kwa busara na hekima zake kukubali kudanganyika, lakini anakuona huna akili kwakuwa yote alikwisha piti enzi za ujanani.
 
Haka ka video kamenifanya nitamani kuwa na ka pistol kangu kwa ajili ya usalama wangu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…