Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie eeh au siyo vipi Ile ya Zakaria Tarime ilikuwa Bonge moja la movie. Mnarudi lini kwa jamaa kumalizia movie?ile ya eti mteka mtu mzima anaepiga mayowe ya kuomba msaada huku anaerekodi video na mashuhuda wengine wakikodoa macho na kushuhudia action movie hiyo kwa umakini mkubwa 🐒
KabisaKama hivyo hapo sawa..
Nimejifunza hata ikiwa masuala ya biashara inabidi uende maeneo yako ya kila siku, hapa kuna huyu, meza ile ukitizama unamuina fulani.
hebu share kipande cha video kwa faida ya wadau gentleman 🐒Movie eeh au siyo vipi Ile ya Zakaria Tarime ilikuwa Bonge moja la movie. Mnarudi lini kwa jamaa kumalizia movie?
Kakifate kwa Zakaria si yupo au aliondoka nacho jamaa kutibiwa south Africa. Na alipopiga nduru mkakimbilia sheli kwake huku mkisema sisi ni maafisa wa usalama wa serikali na mzee Zakaria akaanza kutuliza wakurya pale msitembezewe panga. Mkawa mnatamani msaada uje chapu. Na kukosa Zakaria mwenyewe kutuliza watu mlikuwa mnachezea panga vizuri sana murahebu share kipande cha video kwa faida ya wadau gentleman 🐒
Yanaisaidia CCM kuidhibiti Chadema.Haya mambo yanaichafua serikali
Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Mbona kama picha mbili hazina watu wanaofanana?hao watekaji wanaonekana kabisa. ndio maana marekani trump alisema kila mtu amiliki silaha, ila kama zinapigwa muwe kwenye level sawa.
Hao wanaringa kwa sababu wana silaha, ila wangejua jamaa naye ana silaha wasingemuonea hivyo. nchi imefika pabaya sana.
mkuu huyo uliemquote ni keng.e haujui hata anachokichangia!Sasa wajikamate wenyewe au 😂🤣🤣
Tofautisha, chama, serikali na wahuni?.Pascal Mayalla mkuu, hakika toka kipindi cha marehemu mpaka sasa mnachakujivunia kama chama....
Utekaji wa sasa ni kama uwindaji wa wanyamapori huko porini
kwahiyo umeamua kusimulia wadau watakuelewa kweli gentleman 🐒Kakifate kwa Zakaria si yupo au aliondoka nacho jamaa kutibiwa south Africa. Na alipopiga nduru mkakimbilia sheli kwake huku mkisema sisi ni maafisa wa usalama wa serikali na mzee Zakaria akaanza kutuliza wakurya pale msitembezewe panga. Mkawa mnatamani msaada uje chapu. Na kukosa Zakaria mwenyewe kutuliza watu mlikuwa mnachezea panga vizuri sana mura
Inabidi uanze wewe ili ukikutana B yai asikuponyoke.Pambalu aingia Gym 😂😂😂
Unaanza na wahuni, unakuja na chama na baadae chama chaunda serikali...Tofautisha, chama, serikali na wahuni?.
P
Haka ka video kamenifanya nitamani kuwa na ka pistol kangu kwa ajili ya usalama wangu binafsiSiku nikikuta mtu anakamatwa kwa nguvu, kama kuna gari nitahakikisha nawaponda mawe ya kutosha na vioo nashusha vyote, hiyo siku nitakufa mimi au mtekaji au wote kwa pamoja.
Na wakifanikiwa kukimbia nikawafahamu, familia zao zitateseka sana.
Si tunaishi nao mitaani?
Nitakua nimekufa kishujaa. Nimejiskia vibaya sana.
Kifo kisikie tu. Moment of death unaweza ku ejaculate.huyu kilicho muokoa ni unene tu, baba lizima linalia lia hovyo badala ya kupambana.
Ina maana wakija Mara ya pili wataleta mabaunsa wao Kama wacheza MIELEKA. DaahNa hapo mwisho nimesikia wanasema "watamrudia" manake ngoma bado inaendelea hiyo