Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Huyo dogo aliyekuwa anamvuta ndani si mmemwona sura yake wazi kabisa.wapo wanaomfahamu
 
Inakera mwenzetu anataka kutekwa tunanyamaza na tunaona!!!😭😭
 
Huyu watamrudia kama jitihada isipokuwepo, inasikitisha mchana kweupe kabisa, hayo mambo ya kuleteana utabe yasikie tu.
 
Siku mwenge wa Uhuru ukipigwa marufuku ..haya mambo ya kuzubaa kama Nyumbu amedakwa na Simba kisha Nyumbu wenzake wanashangaa yataisha ..

Hii nchi kwanza tumezubaa sana kwa mambo mengi ya msingi ..
 
Watanzania tunatia Aibu sana hata kama ni ujinga wetu umepitiliza kabisa yaani watu wanaangalia tu,inauma sana yaani mijitu iko humo Dar imejaa ushamba tu mwenzenu anapiga kelele tena mwanaume vijitu viko kimya.
 
 

Attachments

  • IMG-20241113-WA0068.jpg
    63.3 KB · Views: 2
Wewe unayejiita RESILIENT KATO natamani nikujibu lakini kutokana na hali halisi iliyopo hivi sasa na kutokana na sababu maalumu kabisa nalazimika kutokukujibu.
Lakini nakushauri kwamba hata kama wewe binafsi utakuwa ni Agent wa TISS au Askari Polisi na kutokana na hii hali inayoendelea hapa nchini Tanzania hivi sasa, itakuwa ni vyema sana endapo kama ukakaa kimya kabisa kuliko kuzungumzia kwa namna yoyote ile kuhusiana na masuala haya. Chonde chonde, uchague kukaa kimya, itakuwa ni busara na hekima zaidi kwako.
 
Mtume Muhammad (S.A.W.) alieleza:

"Jifundisheni upigaji wa mishale, jifundisheni upigaji wa upanga, na jifundisheni kuogelea." (Sahih Muslim)

Hadithi hii inahimiza kujifunza stadi mbalimbali za kujilinda na kuwa na nguvu, kama vile upigaji wa mishale, upigaji wa upanga, na kuogelea. Ingawa karate haikutajwa moja kwa moja, mafunzo ya sanaa za kujilinda yanahusiana na kuwa na uwezo wa kujilinda na kuwa na nguvu ya mwili.
KUJILINDA SIO KUANZISHA VURUGU. UISLAM UNAHIMIZA UJILINDE NA KUTUMIA ELIMU HII BILA KUDHURU WENGINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…