babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Huyo dogo aliyekuwa anamvuta ndani si mmemwona sura yake wazi kabisa.wapo wanaomfahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni kapambana na kabaki 😄huyu kilicho muokoa ni unene tu, baba lizima linalia lia hovyo badala ya kupambana.
Inakera mwenzetu anataka kutekwa tunanyamaza na tunaona!!!😭😭Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Siku mwenge wa Uhuru ukipigwa marufuku ..haya mambo ya kuzubaa kama Nyumbu amedakwa na Simba kisha Nyumbu wenzake wanashangaa yataisha ..Ila pamoja na yote watu wa Dar mmezidi uoga aise mnazidiwa na hata watoto wadogo wa shule ya msingi angalau wanejipitisha hapo.
Nchi yetu bado tuna bonge la safari ambalo halijajulikana litaisha lini. Hao wapumbavu walikuwa wa kugongeshwa mawe mpaka wapoteane.
sijakuelewa hapa mdau.Hatari sana hii
Ttz unaweza kuta mtu mnamuona kitaa ila mishe anazo fanya nyeusi ndio maana watu hawataki kuweka dhamana
Watanzania tunatia Aibu sana hata kama ni ujinga wetu umepitiliza kabisa yaani watu wanaangalia tu,inauma sana yaani mijitu iko humo Dar imejaa ushamba tu mwenzenu anapiga kelele tena mwanaume vijitu viko kimya.Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
No wonder CCM bado inatuburuza! Watanzania Sisi ni maiti zinazotembea! Bure kabisa!Hakika huu unyumbu ni changamoto kubwa. Tunahitaji wananchi wenye akili na fikra za kiutu.
Hapa hakuna habari ya CCM wala nini, ni uhalifu unaofanyika huku raia wakiangalia kama wanyama wanaoliwa.No wonder CCM bado inatuburuza! Watanzania Sisi ni maiti zinazotembea! Bure kabisa!
Ukichukua namba utafanya nini? Au unadhani hao ni majambazi?Raia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
Umeelewa lakini nilichomaanisha?Hapa hakuna habari ya CCM wala nini, ni uhalifu unaofanyika huku raia wakiangalia kama wanyama wanaoliwa.
Uhalifu hauna chama, unatakiwa upingwe na wananchi wote.
Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Wewe unayejiita RESILIENT KATO natamani nikujibu lakini kutokana na hali halisi iliyopo hivi sasa na kutokana na sababu maalumu kabisa nalazimika kutokukujibu.Kuna ujasusi wa kidola na kitaifa!!
Huo wa kidolahaufuati taratibu za kisheria!
Mfano majambazi sugu Kwa kupitia wapelelezi kuwakamata au kuwaua hakufuati utaratibu wa kisheria!!
Haya yanatokea Kwa malengo maalum!tuombe mungu tufuate sheria!!
Huwezi kamatwa tu from nowhere lazima una Cha kujibu!
"Jifundisheni upigaji wa mishale, jifundisheni upigaji wa upanga, na jifundisheni kuogelea." (Sahih Muslim)
Unamkejeri Marehemu aliyeuawa kikatiri kwa sababu ya upumbafu wa mtoa mada??Huyo Kibao alikuwa mchungaji wa kanisa gani na uanajeshi wake
USSR
Alikuwa chadema hakusoma hadithi hiiHuyo Kibao alikuwa mchungaji wa kanisa gani na uanajeshi wake
USSR
We jamaa ni gaidi sema hujapata exposure!!!Alikuwa chadema hakusoma hadithi hii
Waislam wengi siku hizi hatusomi dini na hatujui, nimeiga nyayo za wengineUnamkejeri Marehemu aliyeuawa kikatiri kwa sababu ya upumbafu wa mtoa mada??
Ussr wewe ni kiazi mbatata