Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Kumiliki silaha kwa marekani imekuja na second ammendment ya katiba yao, ni 1791, ambayo iliruhusu wananchi kubeba silaha kujilinda.

Is why marekani si rahisi police kubeba mtu hovyo au kuvamia mahali, watu wana silaha na wana haki ya kufyatua
 
Nimpe pole jamaa kunasuka hapo, maana wange mu RIP, pili inasikitisha sana wabongo hawasaidii wanamuangalia mtu akiwa matatizoni, baadae watume RIP

Aisee jamii inahitaji revolution , hii ni zaidi ya ukondoo
hata ungekuwa wewe hauwezi kusogea hapo ukiona watekaji wana bunduki, ni wavuta bange hao watakufyatulia kweli. sema, tuwe na tabia kumiliki silaha kihalali, kwani mfano baba yako ndio anatekwa hivyo na unaona, utaacha kumsaidia kupambana nao kijeshi? na ikizingatia polisi wakija hawajitambulishi na hawakukamati kisheria, wanakuteka tu, hivyo haujui kama ni watekaji au polisi. ndio maana yule jamaa wa mwanza sijui musoma aliwafyatulia risasi, na mmoja wa watekaji inasemekana hadi leo yupo kitandani kapooza.
 
Kumiliki silaha kwa marekani imekuja na second ammendment ya katiba yao, ni 1791, ambayo iliruhusu wananchi kubeba silaha kujilinda.
Is why marekani si rahisi police kubeba mtu hovyo au kuvamia mahali, watu wana silaha na wana haki ya kufyatua
hata hapa watu wanaruhusiwa kumiliki kwa kufuata sheria, milikini silaha msitekwe ovyo. imagine, wazazi wa ben saanane, azori gwanda, wangekuwa na silaha siku ile azori anabebwa mbele ya mke wake, si angekuwa amepona.
 

Wakuu,​


Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana...
Tanzania hii Wananchi wanachoweza kushabikia ni Simba na Yanga, Connections za ngono na ulevi tu.

Tunashukuru kuna mtu alifanikisha ku record.

Huyo Mwamba Mungu anampenda.

Umesikia jamaa anasema tutakuua.
 
Anaitwa Zakaria tajiri wa mabasi
 
Nimeangalia hiyo video nimeamini wanaume wa dar nimapimbi kabisa. Imagine tukio linatokea mchana kweupe
ini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…