The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Raia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumiliki silaha kwa marekani imekuja na second ammendment ya katiba yao, ni 1791, ambayo iliruhusu wananchi kubeba silaha kujilinda.hao watekaji wanaonekana kabisa. ndio maana marekani trump alisema kila mtu amiliki silaha, ila kama zinapigwa muwe kwenye level sawa. hao wanaringa kwa sababu wana silaha, ila wangejua jamaa naye ana silaha wasingemuonea hivyo. nchi imefika pabaya sana.
You will be amaized, after that tukio wataanza kuhadidhia kama movie. Ndicho wanacho weza waswahiliRaia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
hata ungekuwa wewe hauwezi kusogea hapo ukiona watekaji wana bunduki, ni wavuta bange hao watakufyatulia kweli. sema, tuwe na tabia kumiliki silaha kihalali, kwani mfano baba yako ndio anatekwa hivyo na unaona, utaacha kumsaidia kupambana nao kijeshi? na ikizingatia polisi wakija hawajitambulishi na hawakukamati kisheria, wanakuteka tu, hivyo haujui kama ni watekaji au polisi. ndio maana yule jamaa wa mwanza sijui musoma aliwafyatulia risasi, na mmoja wa watekaji inasemekana hadi leo yupo kitandani kapooza.Nimpe pole jamaa kunasuka hapo, maana wange mu RIP, pili inasikitisha sana wabongo hawasaidii wanamuangalia mtu akiwa matatizoni, baadae watume RIP
Aisee jamii inahitaji revolution , hii ni zaidi ya ukondoo
hata hapa watu wanaruhusiwa kumiliki kwa kufuata sheria, milikini silaha msitekwe ovyo. imagine, wazazi wa ben saanane, azori gwanda, wangekuwa na silaha siku ile azori anabebwa mbele ya mke wake, si angekuwa amepona.Kumiliki silaha kwa marekani imekuja na second ammendment ya katiba yao, ni 1791, ambayo iliruhusu wananchi kubeba silaha kujilinda.
Is why marekani si rahisi police kubeba mtu hovyo au kuvamia mahali, watu wana silaha na wana haki ya kufyatua
Tuache woga wabonhoTubadi
Duuu watz, mbona mtu akiita "mwizi" watu tunakimbilia tukiwa na mawe, mafuta na kiberiti. Kwa nini hawa watekaji tusiwakabili? Aibu kubwa sana hii
Huenda risasi hupigwa juu ili kutisha watu na pengine ndo sababu kuu ya watu kuingiwa na hofu..Tubadi
Duuu watz, mbona mtu akiita "mwizi" watu tunakimbilia tukiwa na mawe, mafuta na kiberiti. Kwa nini hawa watekaji tusiwakabili? Aibu kubwa sana hii
Namba inasaidia nini? Hao wanaweka namba fake...hiyo video itasaidia sanaRaia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
Tanzania hii Wananchi wanachoweza kushabikia ni Simba na Yanga, Connections za ngono na ulevi tu.Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana...
Anaitwa Zakaria tajiri wa mabasihata ungekuwa wewe hauwezi kusogea hapo ukiona watekaji wana bunduki, ni wavuta bange hao watakufyatulia kweli. sema, tuwe na tabia kumiliki silaha kihalali, kwani mfano baba yako ndio anatekwa hivyo na unaona, utaacha kumsaidia kupambana nao kijeshi? na ikizingatia polisi wakija hawajitambulishi na hawakukamati kisheria, wanakuteka tu, hivyo haujui kama ni watekaji au polisi. ndio maana yule jamaa wa mwanza sijui musoma aliwafyatulia risasi, na mmoja wa watekaji inasemekana hadi leo yupo kitandani kapooza.
Fanyeni pia mazoezi,Inasikitisha sana,nilikua nawadharau watu wanene ila kuanzia Sasa nitawaheshimu,huyo jamaa unene umemsaidia sana ,angekuwa mwembamba ka Mimi wangemnyakua kama karatasi tu
Si kweli tanzania ina wajinga wengi sanaHatari sana hii
Ttz unaweza kuta mtu mnamuona kitaa ila mishe anazo fanya nyeusi ndio maana watu hawataki kuweka dhamana
Yeah Kwa Nyagali Mdude ndichi kilitokea walipiga Juu AK47.Huenda risasi hupigwa juu ili kutisha watu na pengine ndo sababu kuu ya watu kuingiwa na hofu..
Si kweli, tanzania ina wajinga sana nanhuo mtaa huyu jamaa ahame kabisaHatari sana hii
Ttz unaweza kuta mtu mnamuona kitaa ila mishe anazo fanya nyeusi ndio maana watu hawataki kuweka dhamana
iniWakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Kwanini iwe nchi ya namna hiii?Fanyeni pia mazoezi,