Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Tumeshageuka mabwege unadhani tutafanya kinyume na ubwege?

Yaani Hawa watekaji wanajua tunawaogopa hatari.
Mkuu lazima tuogope.....ogopa sana mtu anayefanta kitendo kama hicho mchana kweupe na haogopi watu. Huyo yuko tayari kukufanya chochote na huendi popote.

Uzito wa jamaa umekuwa neema sana na wokovu.

Mungu wa Mbinguni ashukuriwe na ahimidiwe.

Huyo Bwana kifo kimeahirishwa kwa leo
 

Kumiliki silaha US ni haki ya kikatiba toka taifa lilipoanza 1776. Hili sio swala la Trump.
 
Big kamess up na wakubwa gani?
 
Hawa watu si askari ila wanabaraka za kufanya hivi mbona wanaconfidence kabisa ila hawana mbinu za kiaskari..!
 
at work..!
Vipi red brigade ilifutwa kwenye katiba ya Chama!?

Katiba ya Chadema ya 2006 Toleo la 2016, kipengele cha 7.7.5 . Kinaeleza wazi kuwepo kwa kikosi cha ulinzi kinachoitwa Brigedia nyekundu (red brigade) na kitakuwa na majukumu ya kulinda viongozi na mali za Chama.

Huko nyuma niliwahi kuuliza performance ya kikundi Hiki katika kutimiza majukumu yake. Kupoteza kwa Ben na kushambuliwa kw Antipasu kikundi Hiki sikusikia kikihojiwa juu ya matukio haya.

Labda nilipitwa , naomba nielezwe kikundi Hiki kilijibuje kilivyoulizwa? Hasa wahusika waliokuwa wamepewa majukumu ya kulinda viongozi hawa waandamizi wa Chama.
 
Tz, kama mtu ni mhalifu si akamatwe na men in uniform afikishwe mahakamani... hii extra judicial killing ni mbegu mbaya sana....
Jana nilipitia Youtube kwenye mahubiri ya nabii Fulani aisee comments zinaumiza sana.

Zaisi ya comment 100 zote zinamlalamilia Mama kwanini ameruhusu haya yanaendelea.
 
Anayesema ni drama ajitokeze
 
Huyu Jezebel kabisa
 
Unaweza kuambiwa Muliro hajaona hili tukio, Poor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…