Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lipo mahali. Si bureMstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you." Lipo
Hii ni makirikiri kabisa mkuu.
Mkuu lazima tuogope.....ogopa sana mtu anayefanta kitendo kama hicho mchana kweupe na haogopi watu. Huyo yuko tayari kukufanya chochote na huendi popote.Tumeshageuka mabwege unadhani tutafanya kinyume na ubwege?
Yaani Hawa watekaji wanajua tunawaogopa hatari.
hao watekaji wanaonekana kabisa. ndio maana marekani trump alisema kila mtu amiliki silaha, ila kama zinapigwa muwe kwenye level sawa. hao wanaringa kwa sababu wana silaha, ila wangejua jamaa naye ana silaha wasingemuonea hivyo. nchi imefika pabaya sana.
Bora wakuue ila umewagusa gusa wakachue na dicloparHiyo ndio DSM, Mkoani sio rahisi watu watulie
Karate inazuia risasi? Kwsbb ukiwabonda ukawazidi wanatoa silaha hawa
Big kamess up na wakubwa gani?Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Kwenye tukio kama hilo huwa wasamalia wema tunajitokeza japo kuuliza jamani mbona hivyo kulikoni? Kwani mharifu anatekwa au anakamatwa?Hatari sana hii
Ttz unaweza kuta mtu mnamuona kitaa ila mishe anazo fanya nyeusi ndio maana watu hawataki kuweka dhamana
Hawa watu si askari ila wanabaraka za kufanya hivi mbona wanaconfidence kabisa ila hawana mbinu za kiaskari..!Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Vipi red brigade ilifutwa kwenye katiba ya Chama!?at work..!
Jana nilipitia Youtube kwenye mahubiri ya nabii Fulani aisee comments zinaumiza sana.Tz, kama mtu ni mhalifu si akamatwe na men in uniform afikishwe mahakamani... hii extra judicial killing ni mbegu mbaya sana....
Anayesema ni drama ajitokezeWakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Imagine kelele zote hizo watu wametulia hawaingilii kati. Alafu kesho jirani yako anakuja kwako kuomba msaada utampa kweli?Nmeshangaa sana, watu wapo tuu wanashangaa nao
Huyu Jezebel kabisaHaya mashetani hayana hata hizo hisia. Yenyewe yanafurahia kwa sababu yametimiza maagizo ya aliyewatuma. Na aliyewatuma, mara baada ya kifo atajifanya kutoa pole. Mkishatulia, atawaambia kuwa hicho ni kifo kama vifo vingine.
Mwanamke huchukuliwa ni kiumbe mpole lakini akiamua kuwa mwovu, hukosa huruma kabisa, ndiyo maana wazee wa kale walisema usiombee mwanamke akawa mchawi, anaua bila huruma. Ndiyo tunachokishuhudia sasa!!
Unaweza kuambiwa Muliro hajaona hili tukio, PoorWakuu,